mlimakilimanjarotz.blogspot.com
KUTOKA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA NSSF MOSHI | UHURUTZ
http://mlimakilimanjarotz.blogspot.com/2015/02/kutoka-ikulurais-jakaya-kikwete-afungua.html
KUTOKA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA NSSF MOSHI. ZEPHANIA R. KAYAGA. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mh.Gaudensia Kabaka(watano kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt.Ramadhani Dau(wapili kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama(wapili kushoto) pamoja na viongozi na wadau wengine wakikata utepe kufungua rasmi jengo la kitega uchumi la NSSF Kilimanjaro Commercial Complex mjini Moshi,Mkoani Kilimanjaro. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana ...
mlimakilimanjarotz.blogspot.com
BONGO MOVIE KUPAMBA UZINDUZI WA KITABU CHA MAREHEMU KANUMBA LANDMARK HOTEL | UHURUTZ
http://mlimakilimanjarotz.blogspot.com/2015/01/bongo-movie-kupamba-uzinduzi-wa-kitabu.html
BONGO MOVIE KUPAMBA UZINDUZI WA KITABU CHA MAREHEMU KANUMBA LANDMARK HOTEL. ZEPHANIA R. KAYAGA. Emmanuel - Mwandishi wa kitabu. Christian Bella akiongea na wanahabari. Bella na Mama Kanumba akionyesha kitabu mbele ya waandishi wa habari. 8220;Tumepanga kufanya mambo makubwa kwa ajili ya mwenzetu na tunataka ijengeke tabia ya kuenzi wasanii mbalimbali, pesa za uzinduzi wa kitabu hiki utafungua Kanumba Foundation kwa ajili ya kusaidia wanawake wajane na watoto yatima,”anasema Frank. Mama yake mzazi akionge...
mlimakilimanjarotz.blogspot.com
TBL YAFADHILI UCHIMBAJI VISIMA BAGAMOYO | UHURUTZ
http://mlimakilimanjarotz.blogspot.com/2015/01/tbl-yafadhili-uchimbaji-visima-bagamoyo.html
TBL YAFADHILI UCHIMBAJI VISIMA BAGAMOYO. ZEPHANIA R. KAYAGA. Mhandisi wa Kampuni ya Al Water Well Drillers, Mohamed Aboud (katikati), akielekeza jambo kwa mmoja ya wafanyakazi wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi ya miradi ya uchimbaji wa visima vya maji unaofafadhiliwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), katika vijiji vya Nianjema C na Mianzini B, wilayani Bagamoyo, Pwani mwishoni mwa wiki. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu. Subscribe to: Post Comments (Atom). ZEPHANIA R. KAYAGA. TAZAMA PI...
mlimakilimanjarotz.blogspot.com
JINSI YA KUJIUNGA NA INTERNET KWENYE SIMU YA MKONONI | UHURUTZ
http://mlimakilimanjarotz.blogspot.com/2012/07/jinsi-ya-kujiunga-na-internet.html
JINSI YA KUJIUNGA NA INTERNET KWENYE SIMU YA MKONONI. Kwa mitandao ya VODACOM,ZAIN na TIGO. Nenda sehemu ya kuandikia message halafu Andika neno. Acha nafasi na andika aina yako ya simu, mfano:. NOKIA 6030,6030b,2626,6060 n.k. Kwa Mtandao wa Airtel. Kwa mtandao wa Airtel. Halafu tuma kwenda namba:. Kwa mtandao wa Zain hauitajiki kutuma aina ya simu yako, bali andika neno WAP tu halafu tuma kwenye namba 232.Utaletewa ujumbe wa kukubaliana na Setting za internet na fuata maelezo mengine. Kwa mtandao wa TIGO.
mlimakilimanjarotz.blogspot.com
TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA KUTOKA MADIMBA-MTWARA, SONGO SONGO-LINDI NA PWANI HADI DAR ES SALAAM | UHURUTZ
http://mlimakilimanjarotz.blogspot.com/2015/01/taarifa-ya-utekelezaji-wa-ujenzi-wa.html
TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA KUTOKA MADIMBA-MTWARA, SONGO SONGO-LINDI NA PWANI HADI DAR ES SALAAM. ZEPHANIA R. KAYAGA. Subscribe to: Post Comments (Atom). UHURUTZ. Powered by Blogger. ZEPHANIA R. KAYAGA. JINSI YA KUJIUNGA NA INTERNET KWENYE SIMU YA MKONONI. Kwa mitandao ya VODACOM,ZAIN na TIGO. Mtandao wa V oda com Nenda sehemu ya kuandikia message halafu Andika neno INTERNET acha nafas. SERIKALI YATENGA BILIONI 515 KWA HALMASHAURI NCHINI KUFANIKISHA UTOAJI ELIMU BURE.
mlimakilimanjarotz.blogspot.com
Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju Akaribishwa Rasmi Wizara ya Katiba na Sheria | UHURUTZ
http://mlimakilimanjarotz.blogspot.com/2015/01/mwanasheria-mkuu-wa-serikali-george.html
Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju Akaribishwa Rasmi Wizara ya Katiba na Sheria. ZEPHANIA R. KAYAGA. Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju akipokewa na watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria jana(Jumatano, Januari 7, 2015) wakati alipofika Wizarani hapo kukutana na viongozi na watumishi ili kubadilishana mawazo. Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju amewakumbusha watumishi wa umma katika sekta ya sheria kufanya kazi kwa ushirikiano na uzalendo ili kulinda maslahi ya taifa.
mlimakilimanjarotz.blogspot.com
Mmiliki wa kampuni ya Microsoft Bill Gates amekunywa maji yaliotengenezwa kutokana na kinyesi cha binaadamu kama maonyesho ya teknolojia mpya itakayoweza kutoa maji safi katika mataifa yanayoendelea. | UHURUTZ
http://mlimakilimanjarotz.blogspot.com/2015/01/mmiliki-wa-kampuni-ya-microsoft-bill.html
Mmiliki wa kampuni ya Microsoft Bill Gates amekunywa maji yaliotengenezwa kutokana na kinyesi cha binaadamu kama maonyesho ya teknolojia mpya itakayoweza kutoa maji safi katika mataifa yanayoendelea. ZEPHANIA R. KAYAGA. Bill Gates anywa maji yaliotengenezwa kutokana na kinyesi. Mwanzilishi huyo wa Microsoft amesema kuwa. Ataisambaza mitambo ya teknolojia hiyo mpya kote duniani baada ya kuifanyia majaribio mwishoni mwa mwaka huu. Lakini kwa nini mtu awe na wazo la kubadilisha uchafu kuwa maji ya kunywa na...
mlimakilimanjarotz.blogspot.com
Makabiliano makali yametokea kati ya waasi wa kishia wa Houthi na vikosi vya usalama katika ikulu ya Rais ambao inasadikiwa waasi hao wameiteka ikulu ya Rais | UHURUTZ
http://mlimakilimanjarotz.blogspot.com/2015/01/makabiliano-makali-yametokea-kati-ya.html
Makabiliano makali yametokea kati ya waasi wa kishia wa Houthi na vikosi vya usalama katika ikulu ya Rais ambao inasadikiwa waasi hao wameiteka ikulu ya Rais. ZEPHANIA R. KAYAGA. Hali wakati wa makabiliano kati ya waasi na walinzi katika ikulu ya Rais mjini Sanaa. Walioshuhudia makabiliano hayo wanasema waasi hao walipambana na vikosi vya usalama kwa muda kabla ya kuingia katika ikulu ya Rais. Makubaliano yalifikiwa lakini waasi wa Houthis waliendelea kuzingira ikulu ya Rais na makao ya waziri mkuu.
mlimakilimanjarotz.blogspot.com
Timu ya Simba Sc imeibuka kidedea kwa kutwaa kombe la mapinduzi kwa mikwaju 4-3 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo ulipigwa kwenye dimba la Amaani Visiwani Zanzibar | UHURUTZ
http://mlimakilimanjarotz.blogspot.com/2015/01/timu-ya-simba-sc-imeibuka-kidedea-kwa.html
Timu ya Simba Sc imeibuka kidedea kwa kutwaa kombe la mapinduzi kwa mikwaju 4-3 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo ulipigwa kwenye dimba la Amaani Visiwani Zanzibar. ZEPHANIA R. KAYAGA. Dakika tisini za mchezo za kawaida zilimalizika kwa timu hizi kwenda sululu ya bila kufungana ndipo changamoto ya mikwaju ya penati ikafuata . Penati za simba zilifugwa na Awadh Juma, Hassan Kessy, Hassan Isihaka na Dan Ssenrukuma wakati ya Shaaban Kisiga iliokolewa na Kipa Said Mohamed. Subscribe to: Post Comments (Atom).
mlimakilimanjarotz.blogspot.com
NAIBU WAZIRI WA FEDHA MWIGULU NCHEMBA AADHIMISHA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTEMBELEA YATIMA, WAGONJWA NA KUCHANGIA DAMU | UHURUTZ
http://mlimakilimanjarotz.blogspot.com/2015/01/naibu-waziri-wa-fedha-mwigulu-nchemba.html
NAIBU WAZIRI WA FEDHA MWIGULU NCHEMBA AADHIMISHA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTEMBELEA YATIMA, WAGONJWA NA KUCHANGIA DAMU. ZEPHANIA R. KAYAGA. Mwigulu akiwa na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala. Mwigulu Mchemba akiangalia mmoja wa watoto waliozaliwa siku ya leo. Naibu Waziri Mwigulu Mchemba akichangia damu katika benki ya damu Salama. Mwigulu Mchemba akitoa misaada ya vitu mbalimbali katika kituo cha yatima CHAKUWAMA. Subscribe to: Post Comments (Atom). UHURUTZ. Powered by Blogger. TAZAMA PICHA ZA ...