tuzozetu.com
Piga Kura :: Tanzania People Choice Awards
http://tuzozetu.com/vote
Piga Kura Vote Now. Mdau wa Tuzo za Watu, tunashukuru sana kwa mchango wako. Mchakato wa upigaji kura umefika mwisho wake, washindi watatangazwa katika hafla maalum usiku wa Ijumaa tarehe 22 Mei ndani ya Hyatt Regency Hotel jijini Dar es Salaam. P O Box 23207.
tuzozetu.com
Maelezo :: Tanzania People Choice Awards
http://tuzozetu.com/about
Piga Kura Vote Now. Tuzo za watu Tanzania ni tuzo za aina yake, zilizoanzishwa kwa mara ya kwanza nchini mwaka 2014, mahsusi kwaajili ya kuwapa mashabiki wa muziki, filamu, michezo na burudani, jukwaa huru kuwapendekeza na hatimaye kuwachagua washindi wanaowapenda na kuwakubali katika vipengele vilivyoainishwa kwenye Tuzo Za watu 2014. Tuzo hizi zilitambulishwa na kuratibiwa kwa mara ya kwanza Tanzania mnamo Aprili mwaka 2014 na kuhitimishwa mwezi Juni mwaka huo, na kutarajiwa kuendeshwa kila mwaka.
tuzozetu.com
Washindi :: Tanzania People Choice Awards
http://tuzozetu.com/washindi
Piga Kura Vote Now. Washindi wa mwaka 2014. 1 Mtandazaji wa kiume anayependwa – Millardy Ayo. 2 Kipindi cha radio kinachopendwa – Amplifier by Millard Ayo. 3 Mtangazaji wa runinga anayependwa – Salim Kikeke- BBC Swahili. 4 Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa – Elizabeth ‘Lulu’ Michael. 5 Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa – King Majuto. 6 Muongozaji wa video anayependwa – Nisher. 7 Kipindi cha runinga kinachopendwa – Mkasi TV. 11 Mwanamichezo anayependwa – Juma Kaseja. Washindi wa mwaka 2015.
cac.ac.tz
Partners — Cultural Arts Centre at Tumaini University Makumira
http://www.cac.ac.tz/about
Cultural Arts Centre at Tumaini University Makumira. In Memory of Juliana. In Memory of Juliana. Get Involved in Preserving Our Culture! In Memory of Juliana. Is contracting authority for the European Union's 10th EDF grant programme is the National Authorising Office of the Ministry of Finance, Tanzania. These grants are supervised by Godlove Steven and his team. P O Box 55. Usa River, Tanzania. Email: info@cac.ac.tz.
SOCIAL ENGAGEMENT