dinaismail.blogspot.com
MASHALI AMCHARAZA KASEBA | Sports Lady
http://dinaismail.blogspot.com/2014/03/mashali-amcharaza-kaseba.html
Interview Meet your artists. Videos Watch Music TV. Gallery Browse the albums. Actualities All the fresh news. Sign in Members zone. Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam. BONDIA Thomas Mashali amefanikiwa kutwaa taji la WBO uzito wa Light Heavy baada ya kumshinda kwa pointi Japhet Kaseba usiku wa jana kwenye ukumbi wa PTA, Sabasaba, Temeke mjini Dar es Salaam. Mshindi juu; Thomas Mashali akiwa amebebwa juu na mashabiki wake baada ya kutangazwa mshindi dhidi ya Japhet Kaseba. Japokuwa hata matokeo yangetanga...
timbukalilly.blogspot.com
Amka Mtanzania
http://timbukalilly.blogspot.com/2012/08/uozo-zimamoto-vigogo-wajinufaisha-kwa.html
Monday, August 6, 2012. Vigogo wajinufaisha kwa stika feki. Aliyefanya madudu ahamishwa kituo. NA MWANDISHI WETU, MWANZA. SERIKALI inaibiwa mamilioni ya shilingi kutokana na uuzwaji wa stika feki za vifaa vya kuzimia moto kwenye magari, viwandani na ofisini, unaofanywa na baadhi ya vigogo wa Jeshi la Uokoaji na Zimamoto Tanzania, imefahamika. Kwa mujibu wa uchunguzi, vigogo hao wanashirikiana na watumishi wa jeshi hilo, wakiwemo maofisa kadhaa walioko kwenye mikoa hiyo. Habari kutoka kwa mtu aliye karibu...
timbukalilly.blogspot.com
Amka Mtanzania
http://timbukalilly.blogspot.com/2012/08/diwani-afuturisha-wafanyakazi-wa.html
Monday, August 20, 2012. Diwani afuturisha wafanyakazi wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd. DIWANI wa Kata ya Kwadelo,wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Omary Kariati (wa pili kushoto), akitoa neno wakati wa futari aliyowaandalia wafanyakazi wa Kampuni ya Uhuru Pulbications Limited (UPL), wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, ofisi za UPL, Lumumba, Dar es Salaam, Mwishoni mwa wiki iliyopita. Mapishi ya Biriani ya kuku iliyopambwa kwa mayai. Mchele kilo moja aina ya Pishori/Basmati. Weka ...
timbukalilly.blogspot.com
Amka Mtanzania
http://timbukalilly.blogspot.com/2012/08/taswira-ya-baadhiya-vituo-vya-mabasi.html
Wednesday, August 22, 2012. TASWIRA YA BAADHIYA VITUO VYA MABASI DAR ES SALAAM. VIBANDA vya kupumzikia abiria katika vituo vya daladala mkoani Dar es Salaam, vinakabiliwa na tatizo la ukosefu wa matunzo. Pichani, abiria akisubiri usafiri katika kibanda ambacho kimeanza kuanguka, eneo la Karume, jana. Hali hiyo, inayotishia walengwa imedumu kwa zaidi ya wiki tatu sasa. Subscribe to: Post Comments (Atom). Visitors to this Blog. Tanzania Edditors going on line. Http:/ issamichuzi.blogspot.com.
timbukalilly.blogspot.com
Amka Mtanzania
http://timbukalilly.blogspot.com/2012/08/nazindua-mashine-za-kuvunia-mpunga-rais.html
Monday, August 6, 2012. NAZINDUA MASHINE ZA KUVUNIA MPUNGA. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi,Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasha Mashine ya KuvuniaMpunga, (Combine Harvester) ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Mashine hizo 14 zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi kwa lengo la kuboresha Mapinduzi ya Kilimo, katika Shamba la Mbegu Bambi, Wilaya ya Kati Mkoa waKusini Unguja. (Picha na RamadhanOthman, IKulu). Subscribe to: Post Comments (Atom). Visitors to this Blog. Naitwa Lilian Timbuka,kabil...
timbukalilly.blogspot.com
Amka Mtanzania
http://timbukalilly.blogspot.com/2012/08/blog-post_20.html
Monday, August 20, 2012. MUONEKANO WA MAGAZETI JUMATATU YA LEO. Subscribe to: Post Comments (Atom). Visitors to this Blog. Tanzania Edditors going on line. Http:/ issamichuzi.blogspot.com. Http:/ www.bashir-nkoromo.blogspot.com. View my complete profile.
timbukalilly.blogspot.com
Amka Mtanzania
http://timbukalilly.blogspot.com/2012/08/tupambe-kwa-mapambo-yetu-ya-asili.html
Wednesday, August 22, 2012. TUPAMBE KWA MAPAMBO YETU YA ASILI. MITUNGI ambayo imebakia kuwa mapambo ya barabara baada ya kukosa wateja, tatizo ambalo linakwamisha juhudi za wajasiriamali wa sekta inayojiajiri katika kujiendeleza kiuchumi. Subscribe to: Post Comments (Atom). Visitors to this Blog. Tanzania Edditors going on line. Http:/ issamichuzi.blogspot.com. Http:/ www.bashir-nkoromo.blogspot.com. View my complete profile.
matukioyetu.blogspot.com
MAHAFALI YA 25, CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA, MAKADA WA CCM PIA WAPATA NONDOZZ | theNkoromo Blog: HABARI/ MATUKIO KATIKA PICHA
http://matukioyetu.blogspot.com/2013/10/mahafali-ya-25-chuo-kikuu-huria-cha.html
View the slide show. MAHAFALI YA 25, CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA, MAKADA WA CCM PIA WAPATA NONDOZZ. Mama Asha akipongezwa na mmoja wa ndugu zake wa karibu baada ya kutunukiwa shahada hiyo. Kisga Ndugu yake huyo akapozi naye picha ya kumbukumbu. Huyu pia ambaye ni ndugu wa karibu akapiga naye pozi la picha. Asha akiwa katika picha ya pamoja na ndugu zake waliofika kwenye mahafali hayo kumponbgeza. Mama Asha, akipozi picha ya kumbukumbu na mhitimu mwenzake Haider Mwinyimvua. Devota Jobu na Lucy Makoye wa...
dinaismail.blogspot.com
RAGE AMKINGIA KIFUA KIBADENI | Sports Lady
http://dinaismail.blogspot.com/2013/10/rage-amkingia-kifua-kibadeni.html
Interview Meet your artists. Videos Watch Music TV. Gallery Browse the albums. Actualities All the fresh news. Sign in Members zone. RAGE AMKINGIA KIFUA KIBADENI. MWENYEKITI wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amesema atawachukulia hatua za kinidhamu, viongozi watakaobainika kuingililia kazi na majukumu ya benchi la ufundi la timu hiyo. Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Tabora jana, Rage alisema hakuna kiongozi anayeruhusiwa kumpangia timu Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdalla Kibadeni. Katika mechi hiyo, S...