ndabuli.blogspot.com
Mtizamo wangu: CHAI,ZAMBARAU NA FULLLIGHT !
http://ndabuli.blogspot.com/2007/07/chaizambarau-na-fulllight.html
Monday, July 30, 2007. CHAI,ZAMBARAU NA FULLLIGHT! Karibuni, Karibuni,Karibuni ngoja niwaongezee kiti. Asante Anti, du anti umependeza! We anko(anamjua jina lake) unacheka nini sasa? Mshikaji 1 wa Ndabuli. Yaani we Hadija leo unaniita anko? Mshikaji 2 wa Ndabuli. Hube tulete vinywaji hizo longolongo zenu mtaongea wakati tunakata kiu. Kunywa Kilimanjaro au Tusker. Kunywa Serengeti ndio yenyewe.mletee Serengeti darling wangu! Tena kwa msisitizo na sauti kubwa) Kahawa! Kwani hamuuzi kahawa hapa? Ila swala l...
mawazo-huru.blogspot.com
Mtandao wa Mawazo Huru na Habari Chanya
http://mawazo-huru.blogspot.com/2007/12/kaka.html
Jumuia ya Wanablogu wa Tanzania. Muungano wa Vijana Duniani dhini ya UKIMWI. Tafuta ndani ya hii blog:. BONYEZA HAPA KUFANYA HII BLOG KUWA HOMEPAGE YAKO. KWA KUMILIKI TOVUTI KWA BEI RAHISI, KUSAJILI JINA (DOMAIN), NA MENGINE MENGI WASILIANA NA:. BONGO FLAVA, BONGO DANCE, TAARAB, NYIMBO ZA INJILI, ZILIPENDWA AND ONLINE RADIO VISIT:. BLOG HII IMETENGENEZWA NA:. Monday, December 03, 2007. Originally uploaded by Kaka Pori. Muandishi: Kaka Poli Saa: 12:29 pm. Saa: Thursday, March 13, 2008 3:16:00 pm. As we de...
mawazo-huru.blogspot.com
Mtandao wa Mawazo Huru na Habari Chanya
http://mawazo-huru.blogspot.com/2009/10/rasta-model.html
Jumuia ya Wanablogu wa Tanzania. Muungano wa Vijana Duniani dhini ya UKIMWI. Tafuta ndani ya hii blog:. BONYEZA HAPA KUFANYA HII BLOG KUWA HOMEPAGE YAKO. KWA KUMILIKI TOVUTI KWA BEI RAHISI, KUSAJILI JINA (DOMAIN), NA MENGINE MENGI WASILIANA NA:. BONGO FLAVA, BONGO DANCE, TAARAB, NYIMBO ZA INJILI, ZILIPENDWA AND ONLINE RADIO VISIT:. BLOG HII IMETENGENEZWA NA:. Saturday, October 31, 2009. Originally uploaded by Kaka Pori. Hapa anaonekana kaka Ridhwani mi hupenda kumwita iRasta!
mawazo-huru.blogspot.com
Mtandao wa Mawazo Huru na Habari Chanya
http://mawazo-huru.blogspot.com/2006/05/kimya-kingi.html
Jumuia ya Wanablogu wa Tanzania. Muungano wa Vijana Duniani dhini ya UKIMWI. Tafuta ndani ya hii blog:. BONYEZA HAPA KUFANYA HII BLOG KUWA HOMEPAGE YAKO. KWA KUMILIKI TOVUTI KWA BEI RAHISI, KUSAJILI JINA (DOMAIN), NA MENGINE MENGI WASILIANA NA:. BONGO FLAVA, BONGO DANCE, TAARAB, NYIMBO ZA INJILI, ZILIPENDWA AND ONLINE RADIO VISIT:. BLOG HII IMETENGENEZWA NA:. Saturday, May 06, 2006. Kwanza, kabisa nilitingwa sana sana na masuala ya kifamilia kiasi kwamba nilikuwa nakosa kabisa muda wa kuingia mtandaoni.
uchambuzi.wordpress.com
August | 2007 | Jukwaa Huru la Uchambuzi
https://uchambuzi.wordpress.com/2007/08
Jukwaa Huru la Uchambuzi. Archive for August, 2007. Msanii wa Bongo Fleva ndani ya Blogu. Wengi wetu tulitarajia na tulijua kuwa ni suala la muda tu, tungeweza kumwona Freddy Macha mtandaoni, lakini ni nani alitarajia ujio wa Ilunga Khalifa? Kuna watu tayari wanajiuliza naye ni nani. Sasa ngoja nikwambie kitu…. Ilunga Khalifa, ni mmoja kati ya wasanii kadhaa wa huu muziki wa kizazi kipya, ambao wamefanikiwa ‘kuwashika’ vijana vilivyo kutokana na nyimbo zao zenye mistari ya aina yake. Wakati wasanii wetu ...
mrs-ca.blogspot.com
Rural and Urban: PATA JUISI FRESH KWA AJILI YA AFYA NJEMA
http://mrs-ca.blogspot.com/2015/06/pata-juisi-fresh-kwa-ajili-ya-afya-njema.html
Saturday, June 27, 2015. PATA JUISI FRESH KWA AJILI YA AFYA NJEMA. Ama kweli. .safi sana. June 28, 2015 at 12:01 AM. June 29, 2015 at 12:33 PM. Subscribe to: Post Comments (Atom). Please share this Blog. Please Like My Page. I am a good wife, married to Cathbert Angelo Kajuna (owner of kajunason blog. a good sister and a good friend. View my complete profile. NAMNA YA KUPIKA DAGAA NYANYA CHUNGU NAZI: RURAL OR URBAN STYLE. PICHA ZA MAISHA YA WAAFRIKA WANAOJIUZA NCHINI ITALY. PISHI LA LEO - TEMBELE. KITU C...
zainathy.blogspot.com
Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
http://zainathy.blogspot.com/2006/05/kwa-kasi-hii-tutakwisha.html
Mafanikio daima ni kwa wale wenye Kujaribu bila kujali mara ngapi wanaanguka ". Sunday, May 28, 2006. Kwa kasi hii tutakwisha! Pamoja na juhudi za Serikali za kujaribu kuondoa tatizo la njaa, tatizo hilo limeonekana kutaka kuota mizizi huku likisaidiwa na tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta. Tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta limekuja wakati mbaya ambapo bado kuna tatizo la upungufu mkubwa wa chakula. Zainab Yusuph Leo: 5/28/2006 11:35:00 AM. 3 Maoni ya Wasomaji:. People incurr when they drive because o...
mrs-ca.blogspot.com
Rural and Urban: MAENEO FULANI AMAZING : AFRICA
http://mrs-ca.blogspot.com/2015/07/maeneo-fulani-amazing-africa.html
Monday, July 13, 2015. MAENEO FULANI AMAZING : AFRICA. Afrika bwana kuna uzuri wake! July 21, 2015 at 1:20 PM. Subscribe to: Post Comments (Atom). Please share this Blog. Please Like My Page. I am a good wife, married to Cathbert Angelo Kajuna (owner of kajunason blog. a good sister and a good friend. View my complete profile. NAMNA YA KUPIKA DAGAA NYANYA CHUNGU NAZI: RURAL OR URBAN STYLE. PICHA ZA MAISHA YA WAAFRIKA WANAOJIUZA NCHINI ITALY. PISHI LA LEO - TEMBELE. SUPU YA KONGORO KWA AFYA: JUMAPILI NJEMA.
mrs-ca.blogspot.com
Rural and Urban: HEALTH TIP
http://mrs-ca.blogspot.com/2015/06/health-tip.html
Monday, June 29, 2015. A study has found that eating just 28g of yoghurt daily - around a quarter of a small pot – cuts the odds of developing diabetes by almost a fifth. Yam yam.inaonekana tamu ila mie ntapenda bila cream-:). June 29, 2015 at 6:47 PM. Subscribe to: Post Comments (Atom). Please share this Blog. Please Like My Page. I am a good wife, married to Cathbert Angelo Kajuna (owner of kajunason blog. a good sister and a good friend. View my complete profile. PISHI LA LEO - TEMBELE. TAMU MNOOOOOO,...
mrs-ca.blogspot.com
Rural and Urban: SHEREHE YA AQDI YA FATMA NA KASSIMU ILIYOFANA JANA UKUMBI WA CUTCH JAMAT - DAR
http://mrs-ca.blogspot.com/2012/06/sherehe-ya-aqdi-ya-fatma-na-kassimu.html
Friday, June 8, 2012. SHEREHE YA AQDI YA FATMA NA KASSIMU ILIYOFANA JANA UKUMBI WA CUTCH JAMAT - DAR. Shughuli ni watu, kupendeza ndo ilikuwa mpango mzima. View ukiwa nje, dress code ilikuwa ni kiarabu. Msosi time, mambo ya Biriani,chapati,ndizi, mishikaki ya samaki,nyama nk.vingine nimesahu majina vilikuwa vitamu. Bibi harusi akiingia ukumbini, alipendeza hasa. Mikononi kachorwa hina matata, gauni nililipenda kwakweli. Hijabu za kila rangi, ukumbini ilikuwa ni harufu ya udi. Picha zingine asante Maggie.