apostledarmacy.blogspot.com
Apostle Darmacy Blog: August 2013
http://apostledarmacy.blogspot.com/2013_08_01_archive.html
Saturday, August 31, 2013. BWANA ANA HAJA NAWE. Bwana ni mwema kwa watu wake. Bwana Yesu asifiwe…. Soma Luka 19 :29-38. Hapa tumesoma habari ya wanafunzi wawili wa Bwana Yesu waliotumwa kwenda kumfungua mwana-punda aliyekuwa amefungwa. Bibilia inatuambia wazi kabisa juu ya sifa za mwana-punda huyu;. Kwanza alikuwa ni mwana-punda aliyekuwa amefungwa. Yaani yupo kifungoni,. Mwana-punda ambaye hana uwezo wa kufanya lile alitakalo kulifanya,sababu tu, yupo kifungoni. Ni mwana-punda anayetenda kwa shuruti,.
hosannainc.blogspot.com
Hosanna Inc: Makala Maalumu: Orodha ya Vyombo vya Habari vya kikristo nchini Tanzania zikiwemo Tovuti na Blogs
http://hosannainc.blogspot.com/2011/08/makala-maalumu-orodha-ya-vyombo-vya_7960.html
Saturday, August 20, 2011. Makala Maalumu: Orodha ya Vyombo vya Habari vya kikristo nchini Tanzania zikiwemo Tovuti na Blogs. Lengo hasa la orodha hii iliyoboreshwa kulinganisha na ile ya awali ni kuwawezesha watanzania na watu wote kwa ujumla namna ambavyo wanaweza kupata NENO LA MUNGU kupitia vyombo vya habari vilivyoko hapa nchini na nje ya nchi . Orodha hii itakuwa ikiboreshwa mara kwa mara ili kuendana na wakati. Adventists Church of T. Catholic Church of T. Cathoric Church of T. Catholic Church of T.