shabanishakeel.blogspot.com
VIDEO MPYA YA Lady jaydee ft Dabo Forever (Official Video HD/2k/4k) SHAKEEL INVESTMENT
http://shabanishakeel.blogspot.com/2014/12/video-mpya-ya-lady-jaydee-ft-dabo.html
Dec 1, 2014. VIDEO MPYA YA Lady jaydee ft Dabo Forever (Official Video HD/2k/4k). 0 Weka maoni yako hapa:. Subscribe to: Post Comments (Atom). Dar Es Salaam Time. MSAADA WA MAREKANI NA UCHAGUZI WA ZANZIBAR na Ibrahim Haruna Lipumba. MSAADA WA MAREKANI NA UCHAGUZI WA ZANZIBAR Moja ya mafanikio makubwa ya Rais Kikwete ni kuimarisha uhusiano wa Tanzania na mataifa . MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2015. TAMKO LA CUF BAADA YA TANKO LA CCM KUHUSU MSTAKABALI WA ZANZIBAR. Hapa ndipo alipozikwa Shekh ILUNGA...
shabanishakeel.blogspot.com
HII NDIO KAURI YA MAKAMBA ALIYOITOA KUFUATIA MAKUNDI KWA MAKUNDI KWENDA NYUMBANI KWA LOWASA MJINI DODOMA SHAKEEL INVESTMENT
http://shabanishakeel.blogspot.com/2015/03/hii-ndio-kauri-ya-makamba-aliyoitoa.html
Mar 23, 2015. HII NDIO KAURI YA MAKAMBA ALIYOITOA KUFUATIA MAKUNDI KWA MAKUNDI KWENDA NYUMBANI KWA LOWASA MJINI DODOMA. Nafasi ya Urais ni nafasi ya hadhi na heshima kubwa. Unapoiomba hupaswi kufanya michezo ya kuigiza. Huu utaratibu wa kuratibu watu, kuwasafirisha, kuwapa posho na ubwabwa waje kukuomba kugombea ni michezo ya kuigiza ambayo ni aibu kubwa. Viongozi wanaokubalika na watu hawangaiki kupanga Viti na mahema na kuwapiga picha watu wanaowakubali. Hata Mzee Makamba, pamoja na umri wake wa miaka ...
ruvumapress.blogspot.com
Jamii ya Wana Ruvuma: MUFTI AWATAKA WAISLAMU KUACHA KULALAMIKA
http://ruvumapress.blogspot.com/2014/01/mufti-awataka-waislamu-kuacha-kulalamika.html
Jamii ya Wana Ruvuma. Tuesday, January 14, 2014. MUFTI AWATAKA WAISLAMU KUACHA KULALAMIKA. SHEKHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Simba, ametaka Waislamu kuacha kulalamika, kwamba Wakristo wamekuwa wakipewa upendeleo, badala yake watumie fursa wanazopata kuondokana na malalamiko hayo. Akitoa mfano, alisema Waislamu wanapaswa kupeleka watoto wao kusoma elimu zote mbili na kuwaandaa kushika nafasi za kiutendaji ambazo wanalalamikia kuwa zimetolewa kwa upendeleo kwa Wakristo. Alisema kurudi nyuma kwa W...
ruvumapress.blogspot.com
Jamii ya Wana Ruvuma: DU! UTATA WA MOMBASA MABINT KUFANYA MAPENZI NA MBWA, TZ ULISHATOKEA
http://ruvumapress.blogspot.com/2013/05/du-utata-wa-mombasa-tz-ulishatokea.html
Jamii ya Wana Ruvuma. Friday, May 17, 2013. UTATA WA MOMBASA MABINT KUFANYA MAPENZI NA MBWA, TZ ULISHATOKEA. Picha za Msichana Mmoja wapo Aliye Kutwa Akifanya Mapenzi na Mbwa Mombasa. Kwa Mujibu wa Mtandao wa Kenyan Post Hizi ndio Picha za Msichana mmoja wapo ambae anakabiliwa na Mashtaka ya kukutwa wakifanya mapenzi na Mbwa huko Mombasa.Walikamatwa wasichana 11 pamoja na mzungu ambae ndio inasemekana alikuwa akiwalipa hao wasichana,. Source: via Udaku special Blog. Subscribe to: Post Comments (Atom).
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: May 2015
http://carrenmgonja.blogspot.com/2015_05_01_archive.html
Wednesday, May 20, 2015. Rais Kikwete afungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015. Sehemu ya wajumbe wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mik...
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: November 2013
http://carrenmgonja.blogspot.com/2013_11_01_archive.html
Friday, November 15, 2013. MBUNGE KAPUYA YAMKUTA YA UBAKAJI NA KUTISHIA KUUA. Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM). MBUNGE wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), ameingia katika matata. Katika kujaribu kudhibiti mtoto wa shule ambaye anadai alibakwa naye na kuambukiwa virusi vya ukimwi, mbunge huyo ametoa vitisho vya kuua mtoto huyo na kujiua kama njia ya kuepuka dhahama inayoelekea kumkabili. Baadaye saa 1:07 asubuhi, alituma ujumbe mwingine kutoka simu hiyo hiyo kwenda kwa mto...
carrenmgonja.blogspot.com
CarrenFlora Mgonja: April 2015
http://carrenmgonja.blogspot.com/2015_04_01_archive.html
Sunday, April 19, 2015. WATANZANIA tusimame kupinga mauaji ya albino - Lowassa. WATANZANIA wametakiwa kulaani na kukemea mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi albino kwa kuwa matukio hayo yanaitia aibu nchi ya Tanzania na kupoteza sifa yake, kuwa nchi yenye amani. Aidha Chama cha watu wenye ulemavu wa ngozi Tanzania (TAS) kimetakiwa kushawishi majina ya watu 16 waliohukumiwa kifo kutokana na mauaji ya watu wenye ualbino kumfikia mapema Rais Jakaya Kikwete ili kutoa hakumu. Links to this post. Kadhalika, ...
SOCIAL ENGAGEMENT