kapingaz-mafoto.blogspot.com
KAPINGAZ-MAFOTO: August 2015
http://kapingaz-mafoto.blogspot.com/2015_08_01_archive.html
Monday, August 31, 2015. CCM JIMBO LA KAWE YAZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU YAMNADI KIPPI WARIOBA. Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba (katikati mbele), akisindikizwa na wanachama wa chama hicho, alipowasili katika viwanja vya Shule ya Msingi Boko Kata ya Bunju, wakati CCM ilipozindua kampeni kwaajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, katika jimbo hilo, jijini Dar es Salaam jana. PICHA/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOG. Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ...
kapingaz-mafoto.blogspot.com
KAPINGAZ-MAFOTO: JK AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MJINI DODOMA KINACHOPITIA MAJINA YA WALIOPENDEKEZWA KWENYE NAFASI ZA UBUNGE by SOLO Mazalla on August 13, 2015 in MCHANGANYIKO with No comments
http://kapingaz-mafoto.blogspot.com/2015/08/jk-aongoza-kikao-cha-halmashauri-kuu-ya.html
Thursday, August 13, 2015. JK AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MJINI DODOMA KINACHOPITIA MAJINA YA WALIOPENDEKEZWA KWENYE NAFASI ZA UBUNGE by SOLO Mazalla on August 13, 2015 in MCHANGANYIKO with No comments. Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) ambacho kinapitia majina ya yaliopendekezwa kwenye nafasi za ubunge. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Dk.Salim Ahmed ...
kapingaz-mafoto.blogspot.com
KAPINGAZ-MAFOTO: SOMA KURASA ZA MBELE NA NYUMA ZA MAGAZETI YA LEO TAREHE 16/08/2015
http://kapingaz-mafoto.blogspot.com/2015/08/soma-kurasa-za-mbele-na-nyuma-za_16.html
Sunday, August 16, 2015. SOMA KURASA ZA MBELE NA NYUMA ZA MAGAZETI YA LEO TAREHE 16/08/2015. Subscribe to: Post Comments (Atom). Kwa habari motomoto za leo leo. Henry O. Kapinga. Kinondoni, Dar es salaam, Tanzania. View my complete profile. CCM JIMBO LA KAWE YAZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKU. SOMA KURASA ZA MBELE NA NYUMA ZA MAGAZETI YA LEO T. UKAWA WAZINDUA KAMPENI ZAO JANGWANI DAR ES SALAAM. DR JOHN POMBE MAGUFULI:NITAUNDA MAHAKAMA MAALUM Y. Mgombea Mwenza MAMA SAMIA ATINGA SINGIDA LEO. DKT MAGUFULI AZI...
kapingaz-mafoto.blogspot.com
KAPINGAZ-MAFOTO: ZITTO ; FILIKUNJOMBE NI MCHAPAKAZI MZURI, CHIKU AMTAKA MBUNGE MSIGWA AONYESHE ALICHOFANYA JIMBONI
http://kapingaz-mafoto.blogspot.com/2015/08/zitto-filikunjombe-ni-mchapakazi-mzuri.html
Monday, August 10, 2015. ZITTO ; FILIKUNJOMBE NI MCHAPAKAZI MZURI, CHIKU AMTAKA MBUNGE MSIGWA AONYESHE ALICHOFANYA JIMBONI. Ziito Kabwe akiwa na mume wa Chiku Abwao na Chiku Abwao na kada wa ACT wazalend o. Zitto kabwe akiwa na wapambanaji. Zitto kabwe akiwahutubia wananchi wa jimbo la Iringa mjini. Chiku Abwao akiwahutubia wananchi wa jimbo la Iringa mjini. Mgombe udiwani wa kata ya Mvinjeni Abuu Majeck akimpongeza mgombea ubunge jimbo la Iri nga mjini Chiku Abwao. Alisema Bw Kabwe kuwa mbali ya kuwa ye...
kapingaz-mafoto.blogspot.com
KAPINGAZ-MAFOTO: WIZARA YA UJENZI YAMUAGA Rais Jakaya Mrisho Kikwete
http://kapingaz-mafoto.blogspot.com/2015/08/wizara-ya-ujenzi-yamuaga-rais-jakaya.html
Sunday, August 16, 2015. WIZARA YA UJENZI YAMUAGA Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Waziri wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Mfutakamba wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk.Jakaya Mrisho Kikwete. Ilikuwa Siku ya furaha sana kwa wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi. Kila mtu alichukua tukio lililomfurahisha kwa simu yake . Wageni waalikwa kutoka taasisina mashirika mbali mbali walishiriki kik...
kapingaz-mafoto.blogspot.com
KAPINGAZ-MAFOTO: RAIS JAKAYA KIKWETE KATIKA BARAZA LA VIJANA WA CCM
http://kapingaz-mafoto.blogspot.com/2015/08/rais-jakaya-kikwete-katika-baraza-la.html
Sunday, August 16, 2015. RAIS JAKAYA KIKWETE KATIKA BARAZA LA VIJANA WA CCM. Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mjumbe wa NEC Jerry Slaa. Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye Baraza la Vijana wa CCM. Wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete. Mgombea wa...
kapingaz-mafoto.blogspot.com
KAPINGAZ-MAFOTO: WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA UONGOZI DARAJA LA KWANZA CHUO CHA MAGEREZA KIWIRA, MKOANI MBEYA
http://kapingaz-mafoto.blogspot.com/2015/08/waziri-mkuu-mizengo-pinda-afunga-rasmi.html
Saturday, August 15, 2015. WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA UONGOZI DARAJA LA KWANZA CHUO CHA MAGEREZA KIWIRA, MKOANI MBEYA. Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda akikagua Gwaride rasmi lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Daraja la kwanza akiongozwa na Kamanda wa Gwaride. Sherehe hizo zimefanyika leo Agosti 15, 2015 katika Chuo cha Magereza Kiwira, Mbeya. Askari wa Kike ambao wamehitimu Mafunzo hayo wakionesha zoezi la kujihami(Self Defence). Waziri Mkuu Mhe. Mizengo P...
kapingaz-mafoto.blogspot.com
KAPINGAZ-MAFOTO: MAJINA YA WALIOTEULIWA UBUNGE, UWAKILISHI NA VITI MAALUM CCM YATANGAZWA RASMI
http://kapingaz-mafoto.blogspot.com/2015/08/majina-ya-walioteuliwa-ubunge.html
Thursday, August 13, 2015. MAJINA YA WALIOTEULIWA UBUNGE, UWAKILISHI NA VITI MAALUM CCM YATANGAZWA RASMI. Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akipitia orodha ya majina ya waliopendekezwa kwenye nafasi za Ubunge na Uwakilishi,kulia ni Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Mizengo Pinda. MNEC wa Wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete akipitia kitabu cha ilani ya Uchaguzi ya CCM kitakachotumika kwa mwaka 2015-2020. CHAMA Cha Mapinduzi kimemaliza vikao vyake vya juu vya kupitia uteuzi wa wagombea ubu...
kapingaz-mafoto.blogspot.com
KAPINGAZ-MAFOTO: ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC KATIKA MIKOA YA MTWARA, RUVUMA, NJOMBE NA MBEYA KUKAGUA MIRADI
http://kapingaz-mafoto.blogspot.com/2015/08/ziara-ya-mkurugenzi-mkuu-wa-nhc-katika.html
Thursday, August 13, 2015. ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC KATIKA MIKOA YA MTWARA, RUVUMA, NJOMBE NA MBEYA KUKAGUA MIRADI. Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na ujumbe wake akikagua mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika hilo eneo la Napupa Mjini Masasi. Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na ujumbe wake wakitembelea eneo la kujenga nyumba za gharama nafuu Wilayani Namtumbo alipofanya ziara yake katika Mkoa wa Ruvuma. Mradi wa nyumba za gharama naf...
kapingaz-mafoto.blogspot.com
KAPINGAZ-MAFOTO: WASHIRIKI WA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAHIMIZA WANAKIJIJI KUFANYA KILIMO CHA BIASHARA, WAWAPA BURUDANI WANAKIJIJI.
http://kapingaz-mafoto.blogspot.com/2015/08/washiriki-wa-mama-shujaa-wa-chakula.html
Tuesday, August 11, 2015. WASHIRIKI WA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAHIMIZA WANAKIJIJI KUFANYA KILIMO CHA BIASHARA, WAWAPA BURUDANI WANAKIJIJI. Baada ya washiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula Shindano linalo endeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow na kudhaminiwa na Gates and Melinda Foundation,TBS, Cooperative Bank Great Britain na Care Tanzania, baada ya kuwasili wote sasa wanapangwa makundi makundi kwa ajili ya kuanza mchakato wa siku. Burudani lilianzia hapa ambapo Washiriki wa Shindan...
SOCIAL ENGAGEMENT