mnyongemnyongeni.blogspot.com
mnyongemnyongeni
http://mnyongemnyongeni.blogspot.com/2006_06_01_archive.html
Jamii iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo and Mitazamo ya wengine. Mchango wako katika kazi yoyote ulenge kujenga jamii yenye Kujitambua, Kujithamini na Kujiwajibisha ". Thursday, June 01, 2006. NILIPIGWA na butwaa niliposoma habari kuu ya gazeti la mwananchi la Jumatatu, kuhusu kauli ya Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha. Nilipigwa na butwaa kwa sababu mtu mmoja ametoa kauli mbili tofauti katika kipindi kisichozidi siku 8. Ni kutokana na mambo kama haya ya kuruk...
mnyongemnyongeni.blogspot.com
mnyongemnyongeni
http://mnyongemnyongeni.blogspot.com/2009/07/mzimu-wa-muungano-tusipoutuliza.html
Jamii iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo and Mitazamo ya wengine. Mchango wako katika kazi yoyote ulenge kujenga jamii yenye Kujitambua, Kujithamini na Kujiwajibisha ". Tuesday, July 14, 2009. Mzimu wa Muungano tusipoutuliza utatukosesha amani. Maana yake ni kwamba Himid kapata baraka zote kutoka kwa wakuu wake kulisema jambo hilo, maana yake ni kwamba sasa watu wanataka kupimana nguvu. Hii ni serikali ya Mapinduzi ati! Kwa idhini ya nani? Hawra Shamte Leo: 8:11 AM. 0 Maoni ya Wasomaji:. Blogu ya ...
mnyongemnyongeni.blogspot.com
mnyongemnyongeni
http://mnyongemnyongeni.blogspot.com/2012/08/ajali-ya-skagit-haya-ni-matokeo-ya.html
Jamii iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo and Mitazamo ya wengine. Mchango wako katika kazi yoyote ulenge kujenga jamii yenye Kujitambua, Kujithamini na Kujiwajibisha ". Wednesday, August 22, 2012. Ajali ya Skagit: Haya ni matokeo ya taifa linalopenda mitumba. Ilikuwa Septemba 10, 2011 ilipotokea ajali ya meli katika bahari ya Hindi, eneo la Nungwi Zanzibar. Tulidhani ajali ya Mv Spice Islander ilitupa fundisho, tuache kujaza abiria kwenye vipando. Tulidhani ajali ile ilitufunza kuchukua hatua ...
mnyongemnyongeni.blogspot.com
mnyongemnyongeni
http://mnyongemnyongeni.blogspot.com/2006_04_01_archive.html
Jamii iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo and Mitazamo ya wengine. Mchango wako katika kazi yoyote ulenge kujenga jamii yenye Kujitambua, Kujithamini na Kujiwajibisha ". Friday, April 28, 2006. Zanzibar haikukubali Muungano, ililazimishwa tu. Swali: Komredi unaweza kukumbuka namna nchi hizi mbili zilivyofikia hatua ya kuungana Aprili 26 mwaka 1964 na namna ninyi wa Baraza la Mapinduzi mlivyoshirikiana na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, Abeid Amani Karume? Umeleta tija kwa madola ya M...
mnyongemnyongeni.blogspot.com
mnyongemnyongeni
http://mnyongemnyongeni.blogspot.com/2008/10/tumejifunza-nini-kutokana-na-uchaguzi.html
Jamii iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo and Mitazamo ya wengine. Mchango wako katika kazi yoyote ulenge kujenga jamii yenye Kujitambua, Kujithamini na Kujiwajibisha ". Wednesday, October 15, 2008. Tumejifunza nini kutokana na uchaguzi mdogo Tarime? Kila kukicha habari za kutoka Tarime zilipamba vichwa vya habari vya magazeti, nyingi hazikuwa za kufurahisha, zaidi ni vitisho na wasiwasi kwamba Tarime hapatoshi! Napenda kuungana na wale wenye maoni ya kwamba demokrasia ya vyama vingi kwa Afrika ni ...
mnyongemnyongeni.blogspot.com
mnyongemnyongeni
http://mnyongemnyongeni.blogspot.com/2009/07/waislam-jukumu-la-kuanzisha-mahakama-ya.html
Jamii iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo and Mitazamo ya wengine. Mchango wako katika kazi yoyote ulenge kujenga jamii yenye Kujitambua, Kujithamini na Kujiwajibisha ". Wednesday, July 22, 2009. Waislam, jukumu la kuanzisha Mahakama ya Kadhi ni lenu. Pinda amesema kwa kuwa Mahakama ya Kadhi ni suala la imani, hivyo Waislam waiunde katika mfumo wao na serikali itatoa msaada kwa chombo hicho hadi kitakaposimama. Kwa kauli hiyo ya Waziri Mkuu ni wazi kwamba Waislam sasa wanapaswa kukianzisha chombo h...
mnyongemnyongeni.blogspot.com
mnyongemnyongeni
http://mnyongemnyongeni.blogspot.com/2007_11_01_archive.html
Jamii iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo and Mitazamo ya wengine. Mchango wako katika kazi yoyote ulenge kujenga jamii yenye Kujitambua, Kujithamini na Kujiwajibisha ". Wednesday, November 28, 2007. Adui yako muombee njaa, akikosea kidogo kandamiza! WALIOSEMA siasa ni mchezo mchafu, leo nami naungana nao kuyaamini maneno yao. Kweli siasa ni mchezo mchafu! Kumbe, hivi vilio vinavyotolewa na wananchi na wanasiasa kuhusu Buzwagi, Richmond na vinginevyo ni ‘kelele kelele’ tu za kisiasa? Kelele zinazop...
mnyongemnyongeni.blogspot.com
mnyongemnyongeni
http://mnyongemnyongeni.blogspot.com/2009/07/fikra-pevu-kamwe-haitakufa.html
Jamii iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo and Mitazamo ya wengine. Mchango wako katika kazi yoyote ulenge kujenga jamii yenye Kujitambua, Kujithamini na Kujiwajibisha ". Tuesday, July 14, 2009. Fikra pevu kamwe haitakufa. NI vigumu kuamini, lakini ni kweli, wakati wake ulifika, aliitwa naye akaitika. Atakumbukwa kwa mengi mazuri, hasa kwa mchango wake kwa jamii. Mpiganaji wa haki za binadamu na msema kweli. Profesa Haroub ni alama ya fikra pevu, mahiri na yenye busara. Pamoja na wadhifa aliokuw...
mnyongemnyongeni.blogspot.com
mnyongemnyongeni
http://mnyongemnyongeni.blogspot.com/2008/07/mfumo-wa-uongozi-na-demokrasia-afrika.html
Jamii iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo and Mitazamo ya wengine. Mchango wako katika kazi yoyote ulenge kujenga jamii yenye Kujitambua, Kujithamini na Kujiwajibisha ". Thursday, July 31, 2008. Mfumo wa uongozi na demokrasia Afrika, ni mkorogovyogo! UKIANGALIA mlolongo wa matukio, visa na mikasa ya viongozi wa Bara la Afrika, moja kwa moja utabaini kuwa mengi wafanyayo ni yale yaliyoainishwa katika falsafa za Niccolo Machiaveli, mwanafalsafa wa karne ya 15 aliyezaliwa Roma Italia. Pengine demokras...
mnyongemnyongeni.blogspot.com
mnyongemnyongeni
http://mnyongemnyongeni.blogspot.com/2012/10/ccm-kazi-ya-kupiga-tantararira.html
Jamii iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo and Mitazamo ya wengine. Mchango wako katika kazi yoyote ulenge kujenga jamii yenye Kujitambua, Kujithamini na Kujiwajibisha ". Thursday, October 04, 2012. CCM, kazi ya kupiga tantararira waachieni wapinzani. CCM, kazi ya kupiga ‘tantararira’ waachieni wapinzani. WIKI iliyopita Dodoma palikuwa hapatoshi, palitaka kuchimbika bila jembe. Lakini mwishowe kilieleweka! Napenda kuchukua fursa hii kukipongeza Chama Cha Mapinduzi kwa kufanya uchaguzi wake wa ndani.