sdmproductionmedia.blogspot.com
Je CHADEMA wana zingatia Demokrasia kwa Maamuzi ya Kumtoa Zitto Kabwe Uanachama. | SDM PRODUCTION MEDIA
http://sdmproductionmedia.blogspot.com/2015/03/je-chadema-wana-zingatia-demokrasia-kwa.html
Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo. Je CHADEMA wana zingatia Demokrasia kwa Maamuzi ya Kumtoa Zitto Kabwe Uanachama. Je CHADEMA wana zingatia Demokrasia kwa Maamuzi ya Kumtoa Zitto Kabwe Uanachama. Mwanasheria mkuu wa chama cha CHADEMA Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali pingamizi la mbunge huyo la kuzuia asijadiliwe. Share on Google Plus. Watch the Video Here.
sdmproductionmedia.blogspot.com
MTOTO MWINGINE WA KUSIKITISHA AZALIWA SHINYANGA | SDM PRODUCTION MEDIA
http://sdmproductionmedia.blogspot.com/2015/03/mtoto-mwingine-wa-kusikitisha-azaliwa.html
Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo. MTOTO MWINGINE WA KUSIKITISHA AZALIWA SHINYANGA. MTOTO MWINGINE WA KUSIKITISHA AZALIWA SHINYANGA. Maskini Huyu mtoto amezaliwa usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya serikali ya Shinyanga akiwa na Viungo sehemu zisizo sahihi na baada ya muda alifariki Dunia. Najiuliza kwa Sauti Je nini Sababu za Watoto Kama Hawa? Kwani matukio ya wazazi kujifungua watoto wa ajabu yamekuwa mengi nyakati hizi. Share on Google Plus. Watch the Video Here. Bondia Ibrahimu ...
sdmproductionmedia.blogspot.com
MAJAJI, MWENDESHA MASHTAKA WAUAWA BAADA YA MORSI KUHUKUMIWA KIFO | SDM PRODUCTION MEDIA
http://sdmproductionmedia.blogspot.com/2015/05/majaji-mwendesha-mashtaka-wauawa-baada.html
Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo. MAJAJI, MWENDESHA MASHTAKA WAUAWA BAADA YA MORSI KUHUKUMIWA KIFO. MAJAJI, MWENDESHA MASHTAKA WAUAWA BAADA YA MORSI KUHUKUMIWA KIFO. Majaji wawili na Mwendesha mashtaka mmoja wameuawa kwa kupigwa risasi juzi kufuatia Mahakama ya Misri kumhukumu Mohammed Morsi pamoja na washtakiwa wengine zaidi ya 100 adhabu ya kifo. Share on Google Plus. Jisajili kwenye: Chapisha Maoni ( Atom ). Watch the Video Here. Tazama wasifu wangu kamili. MABONDIA IDDI MKWELA NA MW...
sdmproductionmedia.blogspot.com
TAASISI YA ELIMU YAFUTA DARASA LA SABA | SDM PRODUCTION MEDIA
http://sdmproductionmedia.blogspot.com/2015/08/taasisi-ya-elimu-yafuta-darasa-la-saba.html
Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo. TAASISI YA ELIMU YAFUTA DARASA LA SABA. TAASISI YA ELIMU YAFUTA DARASA LA SABA. Taasisi ya elimu Tanzania (TET) imetangaza kupunguza idadi ya masomo kwa wanafunzi wa shule za msingi kutoka masomo kumi na moja hadi masomo nane kwa wanafunzi wa darasa la tatu hadi sita.kuanzia mwaka huu na kufuta Darasa la Saba. Pia watachagua ambavyo vitakuwa vinafaa kulingana na mitaala iliyopangwa . Share on Google Plus. Jisajili kwenye: Chapisha Maoni ( Atom ). BONDIA...
sdmproductionmedia.blogspot.com
DR WILLBORD SLAA KWELI UMESHINDWA KUWATETEA WANANCHI WA TANZANIA SITA(6)TU CCBRT | SDM PRODUCTION MEDIA
http://sdmproductionmedia.blogspot.com/2014/07/dr-willbord-slaa-kweli-umeshindwa.html
Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo. DR WILLBORD SLAA KWELI UMESHINDWA KUWATETEA WANANCHI WA TANZANIA SITA(6)TU CCBRT. DR WILLBORD SLAA KWELI UMESHINDWA KUWATETEA WANANCHI WA TANZANIA SITA(6)TU CCBRT. Mmoja wa mtumishi walioshtakiwa na CCBRT. Mmoja wa mtumishi walioshtakiwa na CCBRT. Picha ya mgonjwa anayepatiwa huduma na vijana hao waliofukuzwa kazi. Hapa baada kuwekwa viungo bandia. Baadhi ya wagonjwa wanaopatiwa huduma ya viuongo bandia. Share on Google Plus. Watch the Video Here. BONDI...
sdmproductionmedia.blogspot.com
YSFO(YOUTH FRIEND SERVICES)YAPATIWA MAFUNZO YA UJASILIA MALI NA DOT(DIGITAL OPPORTUNITY TRUST) | SDM PRODUCTION MEDIA
http://sdmproductionmedia.blogspot.com/2015/02/ysfoyouth-friend-servicesyapatiwa.html
Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo. YSFO(YOUTH FRIEND SERVICES)YAPATIWA MAFUNZO YA UJASILIA MALI NA DOT(DIGITAL OPPORTUNITY TRUST). YSFO(YOUTH FRIEND SERVICES)YAPATIWA MAFUNZO YA UJASILIA MALI NA DOT(DIGITAL OPPORTUNITY TRUST). Ya ujasiriamali na teknolojia bure ili kuwawezesha kutambua fursa zilizopo katika mazingira yetu na kujikwamua kwa kuongeza kipato. Mwenyekiti wa huduma rafiki kwa vijana(YFSO). Mshiriki akiwasirisha alichojifunza mbele ya washiriki wenzake. Picha ya Pamoja baada y...
sdmproductionmedia.blogspot.com
HATIMAYE LULU AFUNGA NDOA NA JOTI. | SDM PRODUCTION MEDIA
http://sdmproductionmedia.blogspot.com/2014/06/hatimaye-lulu-afunga-ndoa-na-joti.html
Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo. HATIMAYE LULU AFUNGA NDOA NA JOTI. HATIMAYE LULU AFUNGA NDOA NA JOTI. Msanii Maarufu Elizabeth Michael anayefahamika kwa jina la Usanii LULU na Msanii Nguli wa vichekesho Lucas Mhuvile maarufu kama JOTI wameonekana katika Moja ya filamu yao mpya wakifunga ndoa.Picha hiyo za ndoa zimeleta gumzo mitaani kutokana na watu kuzani ni kweli Joti na Lulu wameoana.Ila hiyo ni moja ya filamu kali inayokuja coming soon. Picha ya joti na lulu wakifunga ndoa. BONDIA...
sdmproductionmedia.blogspot.com
Uchaguzi Ubunge Jimbo la Handeni lawaka moto Reply | SDM PRODUCTION MEDIA
http://sdmproductionmedia.blogspot.com/2015/08/uchaguzi-ubunge-jimbo-la-handeni-lawaka.html
Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo. Uchaguzi Ubunge Jimbo la Handeni lawaka moto Reply. Uchaguzi Ubunge Jimbo la Handeni lawaka moto Reply. Hakuna mgombea anayejua amepata kura ngapi na wapi amekosa, maana hata huyo. Salu anayedaiwa ameshinda amepewa ushindi wa jumla na hakuna anayejua namna. Gani mchakato huo umefanyika, ndio maana ofisi ya CCM wilaya iliamua kufanya. Siri, huku kila mgombea akiambiwa jambo la kumpa moyo,” alisema Mbwana. Aonao wanafaa kuliko wengine. Share on Google Plus.
sdmproductionmedia.blogspot.com
SOKO LA KARIAKOO LIKO HATARINI KUPOTEZA BIDHAA MUHIMU | SDM PRODUCTION MEDIA
http://sdmproductionmedia.blogspot.com/2015/08/soko-la-kariakoo-liko-hatarini-kupoteza.html
Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo. SOKO LA KARIAKOO LIKO HATARINI KUPOTEZA BIDHAA MUHIMU. SOKO LA KARIAKOO LIKO HATARINI KUPOTEZA BIDHAA MUHIMU. Wafanya biashara wa soko kuu la kariakoo jijini dar es salaam wameiomba serikali kuruhusu magari ya mizigo kufika katika soko hilo kwani wanaathirika kiuchumi kutokana na kukosekana kwa bidhaa. Afisa Biashara wa manispaa ya Ilala hakupatikana kuzungumzia lalamiko hilo la wafanya biashara wa soko hilo. Share on Google Plus. Watch the Video Here.