tonysambuka.blogspot.com
tony sambuka blog: June 2011
http://tonysambuka.blogspot.com/2011_06_01_archive.html
Karibu katika blog itayokupatia habari zihusuzo maisha, siasa, uchumi burudani na biashara zote utapata hapa! Thursday, June 30, 2011. HII NDIO SHUGHULI NZIMA YA MISS MWANZA. Taji la vodacom miss mwanza 2011 lanyakuliwa na irene karugaba. Baadhi ya waandaaji pamoja na maofisa wa kampuni ya Vodacom wakiwasiliza walimbwende hao siku chache kabla ya shindano hilo. Majaji wa shindano hilo wakijadili jambo kabla y a kumtangza mshindi kutoka kushoto ni Cess Odemba Ben Mwangi,Cynthia Buhama. Msanii Barnaba akip...
tonysambuka.blogspot.com
tony sambuka blog: BREAKING NEWz:RAMSEY NOAH ADONDOKA GHOROFANI
http://tonysambuka.blogspot.com/2011/08/breaking-newzramsey-noah-adondoka.html
Karibu katika blog itayokupatia habari zihusuzo maisha, siasa, uchumi burudani na biashara zote utapata hapa! Wednesday, August 3, 2011. BREAKING NEWz:RAMSEY NOAH ADONDOKA GHOROFANI. Ramsey Noah amenusurika kifo baada ya kuanguka toka ghorofani wakati ana shoot movie mpya akiwa nchini Ghana. Subscribe to: Post Comments (Atom). BONGO STAR LINK (dj choka). Dinahicious - Sex, Relationships and Love. FLORAH SALON : flauwo@yahoo.com. SIMIYU YAJIPANGA KUANZA KUTENGENEZA CHAKI. View my complete profile.
tonysambuka.blogspot.com
tony sambuka blog: KARIUA INVESTMENT -NASSA ya VODACOM M-PESA YAFANYA SEMINA KWA MAWAKALA WA M-PESA JIJINI MWANZA.
http://tonysambuka.blogspot.com/2011/07/kariua-investment-nassa-ya-vodacom-m.html
Karibu katika blog itayokupatia habari zihusuzo maisha, siasa, uchumi burudani na biashara zote utapata hapa! Friday, July 22, 2011. KARIUA INVESTMENT -NASSA ya VODACOM M-PESA YAFANYA SEMINA KWA MAWAKALA WA M-PESA JIJINI MWANZA. Panapohusisha Pesa umakini ktk ufatiliaj wa ajenda hua juu kwelii lol! M-blogishaji nami sikua nyuma kwenye sekta husika. Jeremiah mmoja kati ya wafanyakazi wakampuni hiyo akishea tabasam. Dada Eve nae akijiachia mmmh KAZI ni KWAKO! Hajji nae hakua nyuma. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, ...
tonysambuka.blogspot.com
tony sambuka blog: INTER ZEPHA TANZANIA LIMITED JIJINI MWANZA YATOA ZAWADI KWA MSHINDI.
http://tonysambuka.blogspot.com/2011/08/inter-zepha-tanzania-limited-jijini.html
Karibu katika blog itayokupatia habari zihusuzo maisha, siasa, uchumi burudani na biashara zote utapata hapa! Monday, August 1, 2011. INTER ZEPHA TANZANIA LIMITED JIJINI MWANZA YATOA ZAWADI KWA MSHINDI. Afisa mauzo na masoko wa Inter zepha Tanzania Limited Mr.Hamisi S. Fupi akitoa zawadi kwa mshindi. Sehemu ya wanafunzi wa shule ya Pamba Sekondari ya jijini Mwanza walioshuhudia tukio hilo. Wanafunzi wakijumuika katika picha ya pamoja kumpongenza mshindi Mayala P Mapinda. Subscribe to: Post Comments (Atom).
tonysambuka.blogspot.com
tony sambuka blog: July 2011
http://tonysambuka.blogspot.com/2011_07_01_archive.html
Karibu katika blog itayokupatia habari zihusuzo maisha, siasa, uchumi burudani na biashara zote utapata hapa! Friday, July 29, 2011. LUDA CHRISS AWASILI TANZANIA TAYARI KWA SHOW YA FIESTA 2011 LEADERS CLUB DAR ES SALAAM. Mwanamuziki Ludacris akizungumza jioni hii ndani ya Kempinsk hotel na Clouds TV,mara tu alipowasili jiji Dar.Ludacris ameahidi kukamua vilivyo kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2011,litakalofanyika jumamosi hii ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar. Mahiri wa miondoko ya ...
tonysambuka.blogspot.com
tony sambuka blog: May 2011
http://tonysambuka.blogspot.com/2011_05_01_archive.html
Karibu katika blog itayokupatia habari zihusuzo maisha, siasa, uchumi burudani na biashara zote utapata hapa! Wednesday, May 25, 2011. EXCLUSIVE: HURUMA ZIMEMPONZA MH.WILLIAM LUKUVI! Waziri William lukuvi ameibuka na kujibu tuhuma za ufisadi wa kujimilikisha vitalu dhidi yake kwa kudai alipewa kibali toka mamlaka husika na baada ya kuvuna mbao alizigawa. ROCK CITY SARS mazoezini kabla ya match. RYAN GIGGS.AICHAKACUA NDOA YAKE? Friday, May 20, 2011. Hartman,Jacob Stephen (JB),Chiki Mchoma, Rado, Richie Ri...
tonysambuka.blogspot.com
tony sambuka blog: LUDA CHRISS AWASILI TANZANIA TAYARI KWA SHOW YA FIESTA 2011 LEADERS CLUB DAR ES SALAAM
http://tonysambuka.blogspot.com/2011/07/luda-chriss-awasili-tanzania-tayari-kwa.html
Karibu katika blog itayokupatia habari zihusuzo maisha, siasa, uchumi burudani na biashara zote utapata hapa! Friday, July 29, 2011. LUDA CHRISS AWASILI TANZANIA TAYARI KWA SHOW YA FIESTA 2011 LEADERS CLUB DAR ES SALAAM. Mwanamuziki Ludacris akizungumza jioni hii ndani ya Kempinsk hotel na Clouds TV,mara tu alipowasili jiji Dar.Ludacris ameahidi kukamua vilivyo kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2011,litakalofanyika jumamosi hii ndani ya viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar. Mahiri wa miondoko ya ...
tonysambuka.blogspot.com
tony sambuka blog: WAIMBA INJILI KUTOKA FAMILIA MOJA MAARUFU KAMA "J SISTERS " KUZINDUA ALBUM YAO MPYA MWISHONI MWA JULY 2011 PALE DIAMOND JUBILEE
http://tonysambuka.blogspot.com/2011/07/waimba-injili-kutoka-familia-moja.html
Karibu katika blog itayokupatia habari zihusuzo maisha, siasa, uchumi burudani na biashara zote utapata hapa! Monday, July 25, 2011. WAIMBA INJILI KUTOKA FAMILIA MOJA MAARUFU KAMA "J SISTERS " KUZINDUA ALBUM YAO MPYA MWISHONI MWA JULY 2011 PALE DIAMOND JUBILEE. KUNDI BORA LA MZIKI WA INJILI TOKA DAR ES SALAAM LIPO TAYARI KWA UZINDUZI BAAAABKUBWA NDANI YA UKUMBI WA DIMOND JUBILII SIKU YA TAR 31 /7/2011. Mungu abariki shughuli hii Aamen! Subscribe to: Post Comments (Atom). BONGO STAR LINK (dj choka). FLORA...
tonysambuka.blogspot.com
tony sambuka blog: August 2011
http://tonysambuka.blogspot.com/2011_08_01_archive.html
Karibu katika blog itayokupatia habari zihusuzo maisha, siasa, uchumi burudani na biashara zote utapata hapa! Wednesday, August 3, 2011. BREAKING NEWz:RAMSEY NOAH ADONDOKA GHOROFANI. Ramsey Noah amenusurika kifo baada ya kuanguka toka ghorofani wakati ana shoot movie mpya akiwa nchini Ghana. Monday, August 1, 2011. INTER ZEPHA TANZANIA LIMITED JIJINI MWANZA YATOA ZAWADI KWA MSHINDI. Afisa mauzo na masoko wa Inter zepha Tanzania Limited Mr.Hamisi S. Fupi akitoa zawadi kwa mshindi. Interzepha inatoa pongez...