sanga.wordpress.com
Maombi. | "UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI". Isaya 58:12
https://sanga.wordpress.com/maombi
8220;UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI”. Isaya 58:12. Maombi kwa njia ya barua pepe. KARIBU KATIKA KONA HII AMBAYO WEWE MSOMAJI UNAWEZA KUTUMA MAHITAJI YAKO AMBAYO UNGEPENDA TUWEZE KUOMBA KWA PAMOJA. Kitabu cha 1Yohana 5:14-15 Biblia inasema Na huu ndio ujasiri tulionao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia. 15 Na tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba . Unaweza ukatuma hitaji lako katika anuani ifuatayo;. Maana anamwambia Yeremia k...
sanga.wordpress.com
ROHO YA HEKIMA NA UFUNUO | "UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI". Isaya 58:12
https://sanga.wordpress.com/2015/05/02/roho-ya-hekima-na-ufunuo
8220;UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI”. Isaya 58:12. ROHO YA HEKIMA NA UFUNUO. Salaam katika jina lake BWANA Yesu. Katika Waefeso 1:17 Biblia inasema ‘Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa utukufu, awape ninyi ROHO YA HEKIMA NA YA UFUNUO KATIKA KUMJUA YEYE’. Hili moja ya maombi muhimu ambayo Mtume Paulo alifanya kwa jili ya Kanisa la Efeso. Kila nisomapo mstari huu nimekuwa nikijuliza sana ni kwa nini Mtume Paulo aliomba maombi haya kwa kanisa hili? Ili waweze kumjua Mungu zaidi. Naam bado hatumjui Mu...
sanga.wordpress.com
Vitabu | "UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI". Isaya 58:12
https://sanga.wordpress.com/vitabu
8220;UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI”. Isaya 58:12. KARIBU KATIKA KONA HII YA VITABU. Mpenzi msomaji licha ya kuandaa masomo, Mungu amenijalia kipawa cha uandishi wa vitabu. Mpaka sasa nimeandika na kuchapisha vitabu viwili. Kitabu cha kwanza ni Njia kumi za Kibiblia za kumpata mwezi wa maisha. Cha 2006 na cha pili ni “ Ruhusu mapenzi ya Mungu yatimie kuhusu mwenzi wa maisha. 8221; cha 2010. Damu ya Yesu, Roho Mtakatifu, Vita vya Kiroho, Maombi, Uchumba, Wanawake. Ninachukuwa nafasi hii kumshukuru Mungu...
icpnetwork.blogspot.com
INTERCITY PRAYER ALTARS NETWORK (ICPAN): NEW BEGINNINGS AND AN OPEN DOOR THAT NO ONE CAN SHUT Rev3:7-9
http://icpnetwork.blogspot.com/2008/02/new-beginnings-and-open-door-that-no.html
INTERCITY PRAYER ALTARS NETWORK (ICPAN). Setting Altars of Prayer for the Kingdom of God. 2chronicles 7:14. New England shall return to the Lord God! The Man Behind ICPN. Rev Frank Mwebesa - Imparting Spirit of Prayer on the people of God. UP COMING EVENTS - DONOT MISS! AT INTERNATIONAL GOSPEL CHURCH. CHELSEA, MA 01250. Friday 15th, 2008. At 7pm to 10pm. Please invite your friends and family. THE GOSPEL OF THE KINGDOM. BECOMING A PARTNER WITH ICPN. If you wish to become a partner with ICPN. When i was in...
icpnetwork.blogspot.com
INTERCITY PRAYER ALTARS NETWORK (ICPAN): February 2008
http://icpnetwork.blogspot.com/2008_02_01_archive.html
INTERCITY PRAYER ALTARS NETWORK (ICPAN). Setting Altars of Prayer for the Kingdom of God. 2chronicles 7:14. New England shall return to the Lord God! The Man Behind ICPN. Rev Frank Mwebesa - Imparting Spirit of Prayer on the people of God. UP COMING EVENTS - DONOT MISS! AT INTERNATIONAL GOSPEL CHURCH. CHELSEA, MA 01250. Friday 15th, 2008. At 7pm to 10pm. Please invite your friends and family. THE GOSPEL OF THE KINGDOM. BECOMING A PARTNER WITH ICPN. If you wish to become a partner with ICPN. When i was in...
sanga.wordpress.com
MAMBO YA KUMSAIDIA KIJANA ALIYEOKOKA AISHI MAISHA YENYE USHUHUDA MZURI | "UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI". Isaya 58:12
https://sanga.wordpress.com/2015/04/16/mambo-ya-kumsaidia-kijana-aliyeokoka-aishi-maisha-yenye-ushuhuda-mzuri
8220;UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI”. Isaya 58:12. MAMBO YA KUMSAIDIA KIJANA ALIYEOKOKA AISHI MAISHA YENYE USHUHUDA MZURI. Na: Patrick S. Sanga. Mtume Paulo katika waraka wake kwa Timotheo anamwambia hivi, ‘Mtu awaye yote ASIUDHARAU. Ujana wako, bali uwe KIELELEZO. Kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi. JITUNZE. Nafsi yako, na mafundisho yako. DUMU. Katika mambo hayo; maana kwa kufanya hivyo UTAJIOKOA NAFSI YAKO NA WALE WAKUSIKIAO PIA’. 1Timotheo 4:12 and 14).
sanga.wordpress.com
Huduma | "UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI". Isaya 58:12
https://sanga.wordpress.com/kuchangia-huduma
8220;UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI”. Isaya 58:12. Ninamshukuru sana Mungu aliyeniita ningali kijana na kunipa neema hii ya ajabu ya kuweza kumtumikia ili KUIINUA. MISINGI YA VIZAZI VINGI. Naamini kwa namna moja au nyingine hata wewe msomaji wangu utakuwa umebarikiwa kupitia huduma hii kwa ujumla wake. Si rahisi injili ikahubiriwa au masomo yakafundishwa kama. Hakuna watu watakaolipia gharama ambazo wahubiri, walimu, wachungaji. Nk wanazihitaji katika huduma zao na kutekeleza wito walioitiwa. Kwa sadak...
sanga.wordpress.com
NAMNA YA KUSIKIA NA KUIELEWA SAUTI YA MUNGU ILI IKUSAIDE KATIKA KUFANYA MAAMUZI (Sehemu ya 1) | "UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI". Isaya 58:12
https://sanga.wordpress.com/2015/04/02/namna-ya-kusikia-na-kuielewa-sauti-ya-mungu-ili-ikusaide-katika-kufanya-maamuzi-sehemu-ya-1
8220;UTAIINUA MISINGI YA VIZAZI VINGI”. Isaya 58:12. NAMNA YA KUSIKIA NA KUIELEWA SAUTI YA MUNGU ILI IKUSAIDE KATIKA KUFANYA MAAMUZI (Sehemu ya 1). Salaam katika jina la Yesu Kristo na heri ya Pasaka mpenzi msomaji. Je ni kweli Mungu anazungumza na mwanadamu hata sasa? Kwa nini Mungu azungumze/aseme na mwanadamu? Mambo mhumu kujua kuhusu sauti ya Mungu. Yafuatayo ni baadhi ya mambo muhimu ya kukusaidia kuijua, kuisikia na kuielewa sauti ya Mungu, nawe hunabudi kuyafahamu na kuyatenda;. Andiko hili linatu...