migofam.blogspot.com
MIGOMBA FAMILY
http://migofam.blogspot.com/2010/11/najaribu-kuvuta-picha-ya-miaka-kadhaa.html
Friday, November 5, 2010. Najaribu kuvuta picha ya miaka kadhaa tulipokuwa tukitoza ushuru kule shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko, sikutegemea kama kuna siku tungekuwa separate way lakini poa tu ndo maisha yanavyotaka. Nakumic sana best yangu Law. Sharobalo LAW MBETENI katika poz. Unanikumbusha kwa Mzee KIJINO. Rahim R. Migomba. Subscribe to: Post Comments (Atom). Ninaomba maoni yako kupitia (pashalonline@yahoo.com) juu ya nini niongeze ama nini nipunguze ili kuiboresha blog yetu hii.
migofam.blogspot.com
MIGOMBA FAMILY: UJIO MPYA
http://migofam.blogspot.com/2014/12/ujio-mpya.html
Friday, December 12, 2014. Wapenzi wangu wa MiGO Fam blog napenda kuwaomba radhi kwanza kwa kutokua hewani kwa kitambo kirefu. Sina sababu ya msingi hasa iliyonifanya niwe kimya kiasi hicho so nina kila sababu ya kuwaraka radhi. Ila napenda kuwaahidi ya kwanba kuanzia sasa na kuendelea niyaenselea kuwapa burudani kama kawaida yangu. Cha msingi tuombeane uzima tu. Rahim R. Migomba. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile. There was an error in this gadget.
migofam.blogspot.com
MIGOMBA FAMILY: NJEMBA YABAMBWA IKICHEZA VIDUKU KWENYE DALADALA
http://migofam.blogspot.com/2010/12/njemba-yabambwa-ikicheza-viduku-kwenye.html
Monday, December 13, 2010. NJEMBA YABAMBWA IKICHEZA VIDUKU KWENYE DALADALA. Hivi hii hali itaisha lini? Hivi ni nani wa kulaumiwa katika hili? Kituo cha daladala Ubungo. Daladala aina ya DCM ikitokea Mbagara kuelekea Kivukoni. Abiria wakiwa wamejaa kwenye DCM huku wengine wakiwa wamesimama katika style wanayoiita 'KUPIGA RANGI'. Wao hupanda Daladala na hasa zilizojaa tu ili waweze kujipa burudani ya KIMWILI. Watu hawa ni maarufu sana kwa jina la 'DUNGADUNGA'. Leo nimepata MOOD ya kuyaandika haya ili kuwa...
migofam.blogspot.com
MIGOMBA FAMILY: MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA MAMA YANGU. AMEN
http://migofam.blogspot.com/2010/10/mungu-amlaze-mahala-pema-mama-yangu.html
Friday, October 15, 2010. MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA MAMA YANGU. AMEN. Ukweli ni kwamba tulimpenda sana, lakini Muumba alimpenda zaidi na mapenzi yake ni lazima yatimie. Ni miezi miwili sasa tangu amefariki lakini machungu tuliyonayo kwa kuondoka kwake ni makubwa kama vile ametutoka jana. MUNGU amlaze mahala pema peponi mama yangu mpendwa. AMEN. MAREHEMU MAMA YANGU (BI. HABIBA CHUGULO) WAKATI WA UHAI WAKE. Rahim R. Migomba. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile.
migofam.blogspot.com
MIGOMBA FAMILY: ILIKUA NI BOXING DAY
http://migofam.blogspot.com/2010/12/ilikua-ni-boxing-day.html
Sunday, December 26, 2010. ILIKUA NI BOXING DAY. Ni ngumu kwangu kusahau siku ambayo mdogo wangu huyu alipozaliwa kwani ninakumbuka vitu vikuu VITATU,. Kwanza: Ilikua ni siku ya pili baada ya X-Mass yaani siku ya BOXING. Pili: Ilikua ni siku ambayo mmoja wa shangazi zangu ambaye kwa sasa ni marehemu (Mungu amlaze mahala pema peponi, Amin) alipokua anaolewa. MUNGU akupe maisha marefu na yenye baraka tele. AMIN. Rahim R. Migomba. Subscribe to: Post Comments (Atom). View my complete profile.
migofam.blogspot.com
MIGOMBA FAMILY: KUKATIKA KWA MPINI SIO ........ (WEMA)
http://migofam.blogspot.com/2011/12/kukatika-kwa-mpini-sio-wema.html
Thursday, December 15, 2011. KUKATIKA KWA MPINI SIO . (WEMA). Yeah wadau wa MigoFam leo nimeamua kumtupa kwenu binti wa Mzee Abraham Sepetu (Wema). 1) WEWE NI MZURI. Nataka dada yangu ufahamu kuwa wewe ni mzuri na pengine zaidi ya hao wenzio ingawa sisemi kuwa wao ni wabaya. Hili halipingiki kwani kila mtu anafahamu fika kuwa sababu ya wewe kuwa ulipo ni kutokana na vipaji ambavyo Mungu amekutunuku achilia mbali mambo yale ya mavazi hiki cha Uigizaji kinakuweka juu zaidi. Naomba nikukumbushe kitu kimoja:.
migofam.blogspot.com
MIGOMBA FAMILY: AMANA HAKUNA AMANI
http://migofam.blogspot.com/2011/11/amana-hakuna-amani.html
Tuesday, November 1, 2011. Ama kwa hakika nina kila sababu ya kusema haya kuhusiana na Hospitali yetu ya Wilaya Ilala, Hospitali yenye majengo mazuri ambayo pia iliwahi kutembelewa na Mheshimiwa Mkubwa Ulimwenguni Bwana Bushi (Hospitali ya AMANA). Sehemu ya mbele ya Hospitali ya AMANA. Kwa Mtazamo wa haraka unaweza sema kuwa kutokana na uzuri wa majengo yake basi kila namna ya ugonjwa ama mgonjwa utapona/atapona (kama kupona kwa mtu ni majengo) lakini hali halisi ya watenda kazi (Madaktari) si Shwari.