newstz.blogspot.com
habari moto moto: Chadema yampitisha Mathayo Torongey kupambana na Ridhwani Kikwete
http://newstz.blogspot.com/2014/03/chadema-yampitisha-mathayo-torongey.html
Chadema yampitisha Mathayo Torongey kupambana na Ridhwani Kikwete. Mgombea Ubunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chadema, Mathayo Torongey akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana baada ya kutambulishwa. Picha na Michael Jamson Read More. TZ Shilling Exchange Rates. 160; Tanzanian Shilling Exchange Rate. Dkt Mohammed Gharib Bilal. 4ppl Online Dating Personals. BLOG DIRECTORY, Submit blog free, Promote Blog, Best directory. A Blogin Blog Directory. 169; 2011 habari moto moto.
newstz.blogspot.com
habari moto moto: OXFAM YAIVURGA LOLIONDO
http://newstz.blogspot.com/2012/09/oxfam-yaivurga-loliondo.html
Yazifadhili asasi kuvuruga amani Loliondo. Yazichotea mamilioni kufanikisha vurugu. Shirika la Misaada la Kimataifa la Oxfam limejiingiza kwenye ufadhili wa vikundi na asasi za kiraia, zinazozua na kuchochea mgogoro kati ya Serikali na wafugaji wa jamii ya Kimaasai katika Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha. Asasi zilizo katika mkakati huo ni mtandao wa wanaharakati wa haki za binadamu (FEMA CT), mtandao wa mashirika yanayotetea haki za wafugaji, wawindaji na wachuma matunda nchini (PINGO’s Forum), ...
newstz.blogspot.com
habari moto moto: YANGA NA SIMBA WAKABIDHIWA VIFAA NA KILIMANJARO
http://newstz.blogspot.com/2012/09/yanga-na-simba-wakabidhiwa-vifaa-na.html
YANGA NA SIMBA WAKABIDHIWA VIFAA NA KILIMANJARO. KLABU kongwe nchini za Simba na Yanga, zimekabidhiwa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya sh milioni 34 kila moja kutoka kwa mdhamini wao mkuu, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager. Akikabidhi vifaa hivyo katika Ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), jijini Dar es Salaam, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe, alisema, kukabidhi vifaa hivyo ni moja ya sehemu katika mkataba baina yao na klabu hizo. Alivitaja...
newstz.blogspot.com
habari moto moto: Kenya yatoa uzoefu kwa Bunge la Katiba
http://newstz.blogspot.com/2014/03/kenya-yatoa-uzoefu-kwa-bunge-la-katiba.html
Kenya yatoa uzoefu kwa Bunge la Katiba. Ujumbe maalum kutoka nchini Kenya umehutubia wajumbe wa Bunge la Katiba nchini Tanzania kuelezea uzoefu wao kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya nchini Kenya ulivyofanyika. Akizungumza na Wajumbe wa Bunge maalum la katiba, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Kenya,Amos Wako ameainisha masuala ya msingi ya kuzingatia katika upatikanaji wa Katiba mpya ya Tanzania. TZ Shilling Exchange Rates. 160; Tanzanian Shilling Exchange Rate. Dkt Mohammed Gharib Bilal.
newstz.blogspot.com
habari moto moto: DK MARY NAGU ANG'OKA NEC HANANG'
http://newstz.blogspot.com/2012/09/dk-mary-nagu-angoka-nec-hanang.html
DK MARY NAGU ANG'OKA NEC HANANG'. MBIO za uchaguzi ndani ya CCM zimefikia patamu, baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Dk Mary Nagu kuenguliwa kugombea nafasi ya Ujumbe wa Nec kupitia Wilaya ya Hanang', huku Mke wa Rais, Salma Kikwete akiwa mgombea pekee wa nafasi hiyo Lindi Mjini. Habari kutoka Hanang' zimeeleza kuwa Kamati ya Siasa ya CCM ya Wilaya hiyo imemwengua Dk Nagu na kuwabakiza wagombe wawili, Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye na Leonsi Marmo. 8220;Kikao k...
newstz.blogspot.com
habari moto moto: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kalenga ahutubia kwenye mvua, wananchi wavumilia
http://newstz.blogspot.com/2014/03/mgombea-ubunge-kwa-tiketi-ya-ccm-jimbo.html
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kalenga ahutubia kwenye mvua, wananchi wavumilia. TZ Shilling Exchange Rates. 160; Tanzanian Shilling Exchange Rate. Dkt Mohammed Gharib Bilal. 4ppl Online Dating Personals. BLOG DIRECTORY, Submit blog free, Promote Blog, Best directory. A Blogin Blog Directory. 169; 2011 habari moto moto. Blogger by Best Blogger Themes. Designs by Fab Themes.
newstz.blogspot.com
habari moto moto: Kura ya Siri au wazi kaa la moto Bunge la Katiba
http://newstz.blogspot.com/2014/03/kura-ya-siri-au-wazi-kaa-la-moto-bunge.html
Kura ya Siri au wazi kaa la moto Bunge la Katiba. Na Daniel Mjema na Sharon Sauwa, Mwananchi. Habari kutoka katika kikao cha ndani cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), zilisema kutokana na mvutano huo, mjumbe mmoja, Chritopher Ole Sendeka, alijikuta akilia hadharani akitetea upigaji kura ya wazi. Dodoma. Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, juzi na jana wamekuwa katika mtihani mgumu wa kufikia uamuzi wa pamoja kuhusu utaratibu wa upigaji kura, kati ya kura ya wazi na kura ya siri. 8220;Kilio cha Ole Sendeka kwe...
newstz.blogspot.com
habari moto moto: Bunge lavunjika Dodoma
http://newstz.blogspot.com/2014/11/bunge-lavunjika-dodoma.html
Dar/Dodoma. Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana usiku kilivunjika baada ya vurugu kutawala ukumbini humo. Vurugu hizo zilianza saa 04:42 usiku hadi saa 04:49 usiku wakati Spika Anne Makinda alipolazimika kuahirisha Bunge hadi leo saa tatu asubuhi. Chanzo cha vurugu ni kutokana na ugumu wa kutokukubaliana na azimio la tisa, lililolenga kumwajibisha moja kwa moja Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. TZ Shilling Exchange Rates. 160; Tanzanian Shilling Exchange Rate.