ramozaone.blogspot.com
RUSHA ROHO: THANIA MSOMALI AJA NA 'HIVI NDIVYO NILIVYO'
http://ramozaone.blogspot.com/2015/02/thania-msomaji-ana-na-hivi-ndivyo.html
KWA HABARI ZA MUZIKI WA TAARAB, WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL ramozaone@gmail.com. Tuesday, February 3, 2015. THANIA MSOMALI AJA NA 'HIVI NDIVYO NILIVYO'. MIEZI michache baada ya kujiengua katika kundi la Mashauzi Classic, mwimbaji machachari na mwenye sauti maridhawa ya ndege mnana, Thania Msomali ameibuka na kibao kipya kinachokwenda kwa jina la Hivi ndivyo nilivyo. Binti huyo amesema kibao hicho ni maandalizi ya ujio wa albamu yake ya kwanza, anayotarajia kuitoa mwaka huu.
ramozaone.blogspot.com
RUSHA ROHO: MASHAUZI: NYIMBO ZANGU ZA DANSI ZIMEPOKELEWA VIZURI
http://ramozaone.blogspot.com/2015/04/mashauzi-nyimbo-zangu-za-dansi.html
KWA HABARI ZA MUZIKI WA TAARAB, WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL ramozaone@gmail.com. Wednesday, April 29, 2015. MASHAUZI: NYIMBO ZANGU ZA DANSI ZIMEPOKELEWA VIZURI. MTUNZI na mwimbaji nyota wa muziki wa taarab nchini, Isha Ramadhani 'Mashauzi' amekiri kuwa, uamuzi wake wa kuimba nyimbo za miondoko ya dansi umepokelewa vizuri na mashabiki wake. Kutokana na mafanikio hayo, Isha amesema anatarajia kurekodi albamu yake binafsi yenye nyimbo sita za muziki wa dansi. Isha amesema ka...
ramozaone.blogspot.com
RUSHA ROHO: DAR MODERN TAARAB KUFANYA ZIARA MIKOA SITA
http://ramozaone.blogspot.com/2015/05/dar-modern-taarab-kufanya-ziara-mikoa.html
KWA HABARI ZA MUZIKI WA TAARAB, WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL ramozaone@gmail.com. Monday, May 11, 2015. DAR MODERN TAARAB KUFANYA ZIARA MIKOA SITA. KIKUNDI cha taarab cha Dar Modern, kinatarajia kufana ziara katika mikoa sita nchini kwa lengo la kutambulisha ujio wake mpya katika muziki huo. Ziara hiyo, iliyopewa jina la Modenika na Dar Modern, italifikisha kundi hilo katika mikoa ya Rukwa, Katavi, Dodoma, Morogoro na Dar. Emmanuel amewataka mashabiki wa taarab kujitokeza ...
ramozaone.blogspot.com
RUSHA ROHO: OGOPA KOPA ILIVYOPAGAWISHA MASHABIKI DAR LIVE
http://ramozaone.blogspot.com/2015/01/ogopa-kopa-ilivyopagawisha-mashabiki.html
KWA HABARI ZA MUZIKI WA TAARAB, WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL ramozaone@gmail.com. Monday, January 5, 2015. OGOPA KOPA ILIVYOPAGAWISHA MASHABIKI DAR LIVE. Malkia wa Mipasho nchini, Khadija Omar Kopa akiimba kwa hisia wakati wa onyesho hilo. Waimbaji wa Ogopa Kopa wakiwajibika jukwaani wakati wa onyesho hilo. Mtoto wa Khadija Kopa aitwae Mohammed Kopa akikamua huku nyuma yake akisapotiwa na wenzake. Msaga Sumu akimpelekesha Khanifa Khalid anayeserebuka kwa staili ya gwaride.
liwazozito.blogspot.com
LIWAZO ZITO BLOG: YANGA HIYOOO ROBO FAINALI KOMBE LA KAGAME
http://liwazozito.blogspot.com/2015/07/yanga-hiyooo-robo-fainali-kombe-la.html
KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com. Sunday, July 26, 2015. YANGA HIYOOO ROBO FAINALI KOMBE LA KAGAME. WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya soka ya Kombe la Kagame, Yanga jana walifuzu kucheza robo fainali baada ya kuichapa Khartoum ya Sudan bao 1-0 katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Akizungumza baada ya Azam kuicharaza Adama City ya Ethiopia mabao 5-0, Hall alisema kikosi chake kimefanya ...
liwazozito.blogspot.com
LIWAZO ZITO BLOG: CECAFA KUENDESHA MTIHANI WA UTIMAMU WA MWILI KESHO
http://liwazozito.blogspot.com/2015/07/cecafa-kuendesha-mtihani-wa-utimamu-wa.html
KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com. Wednesday, July 15, 2015. CECAFA KUENDESHA MTIHANI WA UTIMAMU WA MWILI KESHO. Baraza la Vyama Vya Soka kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kesho Alhamis tarehe 16 Julai, 2015 litaendesha mtihani wa utimamu wa mwili (Pysical test) kwa waamuzi wa watakochezesha michuano ya kombe la Kagame inayoanza mwishoni mwa wiki huu. AL SHANDY, MALAKIA, KMKM KUWASILI KESHO. Al Shandy wanatar...
liwazozito.blogspot.com
LIWAZO ZITO BLOG: MBEYA CITY YATANGAZA ZABUNI YA KUUZA VIFAA VYAKE VYA MICHEZO
http://liwazozito.blogspot.com/2015/07/mbeya-city-yatangaza-zabuni-ya-kuuza.html
KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com. Wednesday, July 22, 2015. MBEYA CITY YATANGAZA ZABUNI YA KUUZA VIFAA VYAKE VYA MICHEZO. TANGAZO LA ZABUNI LA UAGIZAJI NA UUZAJI WA VIFAA VYA CLUB. Mbeya City Council F.C inakaribisha kampuni zenye uwezo wa kufanya kazi na. Kazi zinazotangazwa ni kama ifutazo:. I Kuwa mwagizaji wa vifaa mbalimbali vya club. II Kuuza vifaa mbalimbali vya club. Mwombaji anatakiwa atimize masharti yafuatayo.
liwazozito.blogspot.com
LIWAZO ZITO BLOG: COASTAL UNION YASAJILI WAPYA 13
http://liwazozito.blogspot.com/2015/07/coastal-union-yasajili-wapya-13.html
KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com. Wednesday, July 22, 2015. COASTAL UNION YASAJILI WAPYA 13. KLABU ya Coastal Union imeweza kusajili wachezaji 13 ambao wataitumikia timu hiyo katika michuano ya Ligi kuu msimu ujao Tanzania bara unaotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba mwaka huu hapa nchini. Amesema wachezaji wengine ni Jackson Sabweto ambaye ni Mlinda Mlango kutoka Klabu ya VILLA FC ya nchini Uganda amesaini mkataba w...
ramozaone.blogspot.com
RUSHA ROHO: HAMMER Q AJA NA VIJUMBA JUMBA
http://ramozaone.blogspot.com/2015/08/hammer-q-aja-na-vijumba-jumba.html
KWA HABARI ZA MUZIKI WA TAARAB, WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL ramozaone@gmail.com. Monday, August 10, 2015. HAMMER Q AJA NA VIJUMBA JUMBA. Ni Mr and Mrs Hammer Q katika nyimbo Mpya waliyoipa jina la "Vijumba Jumba". Ni nyimbo Tamu, Nyimbo nzuri iliyo tofauti kabisa na Miondoko ya Taarabu za hivi sasa, ni Taarabu asilia iliyoimbwa na watu wawili Mr and Mrs, wakiimba kwa kupokezana, utaipenda. IMETOLEWA KUTOKA BLOGU YA TAARABUZETU. Subscribe to: Post Comments (Atom). MCHEZAJI...
liwazozito.blogspot.com
LIWAZO ZITO BLOG: KOZI YA MAKOCHA WA MAGOLIKIPA JULAI 13
http://liwazozito.blogspot.com/2015/07/kozi-ya-makocha-wa-magolikipa-julai-13.html
KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com. Tuesday, July 7, 2015. KOZI YA MAKOCHA WA MAGOLIKIPA JULAI 13. Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF litaendesha kozi ya makocha wa magolikipa nchini itakayofanyika Julai 13 - 17, 2015 jijini Dar es salaam. Jumla ya makocha wa magolikipa 29 wanatarajiwa kuhudhuria kozi hiyo itakayofanyika katika ofisi za TFF zilizopo Karume. Hussein Tade Katadula (African Lyon), Juma Mohamed Bomba (Ki...