ulizatu.wordpress.com
TUTAFIKAJE? CHADEMA NA USALAMA | Uliza tu Blog
https://ulizatu.wordpress.com/2013/04/14/tutafikaje
Just another WordPress.com site. April 14, 2013. SIASA ZETU na namna tunavyodai kumkomboa Mtanzania. Ona hapa chini Namba ya Zitto imo katika listi ya hao wanaodhaniwa kuwa Magaidi. Haya sasa Zito anapinga kuhusika lakini anapinga hata rafiki yake kuwa nae amehusika. Duh haya sasa kama ikithibitika kama rafiki yake Mwandishi wa Mwananchi anahusika itakuwaje? Zitto amejuaje kama simu hiyo haitumiki na yeyote? Angalia hapa chini tamko jingine. Ndugu waandishi wa habari;. Tunahitaji mawasiliano haya kwa kuw...
ulizatu.wordpress.com
August | 2013 | Uliza tu Blog
https://ulizatu.wordpress.com/2013/08
Just another WordPress.com site. Monthly Archives: August, 2013. MDORORO WA UHUSIANO NA MTANGAMANO WA AFRICA MASHARIKI NI UBINAFSI? August 30, 2013. Wiki hii baada ya Marais wa Kenya Uganda, Rwanda kuhudhuria ufunguzi wa bandari ya Mombasa imekuwa wazi kabisa hapa kuna uhasama waaina yake. Ukizingatia mshikamano ktk hoja ya kuhakikisha Bunge la Afrika Mashariki lizafanya vikao vyake kwa kuzunguka nalo limeleta maoni tofauti kabisa kwangu. Sababu zilizo wafanya wasitishe ni zipi? Join 100 other followers.
ulizatu.wordpress.com
HUKU NI KUNUSURU AU KUUA ELIMU NCHINI??? | Uliza tu Blog
https://ulizatu.wordpress.com/2013/05/03/huku-ni-kunusuru-au-kuua-elimu-nchini
Just another WordPress.com site. HUKU NI KUNUSURU AU KUUA ELIMU NCHINI? May 3, 2013. Tanzania Kupitia waziri wa nchi Sera Ndugu Lukuvi imetangaza kufutwa kwa matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 kwakuwa vijana walifwli sana. Baraza la mitihani linatakiwa kusahisha mtihani upya. Najiuliza watatumia nini? Watatumia marking scheme ipi? Wengine wakisema nchi hii haina mtaala tunalalama nakusema ndo kazi ya wapinzani. Sababu za kufeli nizakihuni na zinautata sana sana. Kama ni hizo nani hakuzijua? Kama unasem...
ulizatu.wordpress.com
Tafiti | Uliza tu Blog
https://ulizatu.wordpress.com/tafiti
Just another WordPress.com site. Ukurasa huu unaonyesha tafiti mbalimbali zenye nia ya kuuliza yatokanayo na jamii yetu ilikupata majibu fulani au kutusaidia kuuliza zaidi. Leave a Reply Cancel reply. Enter your comment here. Fill in your details below or click an icon to log in:. Address never made public). You are commenting using your WordPress.com account. ( Log Out. You are commenting using your Twitter account. ( Log Out. You are commenting using your Facebook account. ( Log Out.
ulizatu.wordpress.com
Habari/Yaliojili | Uliza tu Blog
https://ulizatu.wordpress.com/habariyaliojili
Just another WordPress.com site. Eneo hili linahusu matukioa mengi yanayojili tkt jamii yetu. matukio haya nimuhimu kutusaidia tuhoji. au pengine kutokana na matukio haya twapata majibu ya yale tulio hoji. karibuni tuendelee kuhoji. The page is concern with news and information from our community which is essential for questioning. in some cases it will assist providing information relating to previous questions. this is because we are sceptical and we doubt almost every thing. August 18, 2010 at 8:07 am.
ulizatu.wordpress.com
TANZANIA BILA ELIMU INAWEZEKANA Tanzania without Education is Possible | Uliza tu Blog
https://ulizatu.wordpress.com/2013/03/29/tanzania-bila-elimu-inawezekana-tanzania-without-education-is-possible
Just another WordPress.com site. TANZANIA BILA ELIMU INAWEZEKANA Tanzania without Education is Possible. March 29, 2013. Do not worry,no matter how and when, we shall reach there! If you do not know where you are going anyway can take you there! BARUA YA WAZI YA Joseph J.Mungai( MB mstaafu ). S: 0753 192999 BP: jjmungai@tatepa.com. BARUA YA WAZI KWA TUME YA ELIMU. YA KUFELI 60% MTIHANI WA KVI 12012. ILIYOTEULIWA NA MHE WAZIRI MKUU. Kumb Na. JJM/2013/ELIMU/19. Tume ya Elimu ya Kufeli KIV. 31 Kufeli mwaka ...
ulizatu.wordpress.com
November | 2014 | Uliza tu Blog
https://ulizatu.wordpress.com/2014/11
Just another WordPress.com site. Monthly Archives: November, 2014. November 21, 2014. NATIONAL CONFERENCE ON THE ADVANCEMENT OF GEOGRAPHY FOR SUSTAINABLE DEVELOPMENT OF TANZANIA 20. To creating a platform for knowledge sharing among academics, researchers and practitioners within Geography discipline. To reflect on the progress of Geography as a discipline and the contribution of Tanzanian Geographers in learning and practicing geography for sustainable development. Geopolitics and conflict management.
ulizatu.wordpress.com
Tathmini ya mbinu zakijamii za kukabiliana na maafa ya kijiolojia katika maeneo ya jirani na Oldoinyo Lengai, kaskazini mwa Tanzania | Uliza tu Blog
https://ulizatu.wordpress.com/2014/09/04/tathmini-ya-mbinu-zakijamii-za-kukabiliana-na-maafa-ya-kijiolojia-katika-maeneo-ya-jirani-na-oldoinyo-lengai-kaskazini-mwa-tanzania
Just another WordPress.com site. Tathmini ya mbinu zakijamii za kukabiliana na maafa ya kijiolojia katika maeneo ya jirani na Oldoinyo Lengai, kaskazini mwa Tanzania. September 4, 2014. Watu wamejifunza maumbile ya ikolojia ya Oldoinyo Lengai na kuweza kubashiri kinachoweza tokea kwao. Elimu hiyo hutambulika kupitia masimulizi ya miaka mingi yaliorithishwa toka kizazi hadi kizazi na kupitia. Watu wenye nguvu ya kuwasiliana na Mungu na kung`amua alama za maumbile hayo. Leave a Reply Cancel reply. Create a...
ulizatu.wordpress.com
CALL FOR PAPERS | Uliza tu Blog
https://ulizatu.wordpress.com/2014/11/21/call-for-papers
Just another WordPress.com site. November 21, 2014. NATIONAL CONFERENCE ON THE ADVANCEMENT OF GEOGRAPHY FOR SUSTAINABLE DEVELOPMENT OF TANZANIA 20. To creating a platform for knowledge sharing among academics, researchers and practitioners within Geography discipline. To reflect on the progress of Geography as a discipline and the contribution of Tanzanian Geographers in learning and practicing geography for sustainable development. The advancement of Geography for sustainable development of Tanzania .
SOCIAL ENGAGEMENT