injiliyakweli.blogspot.com
Yesu Ni Njia: Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 7
http://injiliyakweli.blogspot.com/2014/12/kubatizwa-kwa-moto-uwakao-7.html
Sunday, December 21, 2014. Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 7. Bwana alizungumza waziwazi. “. Wakati huu, shughuli za kiroho za makanisa zinapingana na kile ambazo niliwakusudia. Viongozi na waumini wananiabudu kimazoea tu na wananijua kwa nadharia tu za vitabuni. Iweni na shauku kubwa kisha mnijie Mimi. SIKU YA 16 = = =. Mabishano husababisha nyumba yako ya mbinguni ianguke. Huko Mbinguni niliuliza, “Yesu, niliambiwa kuwa tuna nyumba Mbinguni. Ningependa kuona nyumba yangu. Nikamwuliza Yesu kama kulikuwa na ...
injiliyakweli.blogspot.com
Yesu Ni Njia: Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 1
http://injiliyakweli.blogspot.com/2014/07/kubatizwa-kwa-moto-uwakao-1.html
Monday, July 14, 2014. Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 1. Huu ni ushuhuda unaotokana na kitabu kinachojulikana kama Baptized by Blazing Fire, Devine Expose of Heaven and Hell kilichoandikwa na Mchungaji Yong-Doo Kim wa Korea. Ni ushuhuda mrefu ambao utakupa mafundisho, maonyo, utakutia moyo na kukuimarisha katika safari yetu ya kuelekea kwa Baba, Mbinguni. 8230;………………………………. KITABU CHA 1 – SEHEMU YA KWANZA. Yesu alitukumbusha tujivike uwezo kwa kuomba kila siku (Marko 9:29). Ni muhimu kuomba kila mara...
injiliyakweli.blogspot.com
Yesu Ni Njia: Niliokolewa Toka Kwenye Nguvu za Giza - Sehemu ya 9
http://injiliyakweli.blogspot.com/2014/06/niliokolewa-toka-kwenye-nguvu-za-giza_22.html
Sunday, June 22, 2014. Niliokolewa Toka Kwenye Nguvu za Giza - Sehemu ya 9. Sura ya 7: Kazi za Maajenti wa Shetani. Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.” (Eph 6:11-12). Wakati Biblia inasema: “. Biblia hiyohiyo pia inasema kuwa silaha za Mkristo dhidi ya ibilisi na maajenti wake “. Si za mwili, bali zina.
injiliyakweli.blogspot.com
Yesu Ni Njia: Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 5
http://injiliyakweli.blogspot.com/2014/12/kubatizwa-kwa-moto-uwakao-sehemu-ya-5.html
Wednesday, December 10, 2014. Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 5. SIKU YA 11 = =. Kadiri nilivyoomba kwa bidii, nuru kali ilitokea mbele yangu, na mbele ya hiyo nuru alisimama Yesu. " Joo-Eun, nakupenda. Omba bila kukoma; omba kwa bidii; omba kwa moyo wako wote. Usiache kuomba. Nilihisi ujotojoto na niliweza kumwona Yesu kwa wazi zaidi. Ndipo nikatambua ni kwa nini Yesu aliniambia niinue mikono yangu juu zaidi. Niliweza kumwona wazi zaidi nilipofanya hivyo. Nikamwambia, " Haa! Dada Baek, Bong-Nyo. Mashetani y...
injiliyakweli.blogspot.com
Yesu Ni Njia: Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 4
http://injiliyakweli.blogspot.com/2014/07/kubatizwa-kwa-moto-uwakao-4.html
Sunday, July 27, 2014. Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 4. SIKU YA 10 = =. Wakati nikiwa nimezama katika kuomba kwa lugha, joka jekundu lilinitokea. Lilikuja kwangu kwa kasi na kunirukia. Lilikuwa na macho kama ya mamba na makucha makubwa makali, na likajaribu kunitisha kwa makucha yake. Moshi unaotia kinyaa ulitoka kwenye pua zake. " Ewe shetani mbaya, ondoka kwangu kwa Jina la Yesu. Nilikuwa napaza sauti kama mwanamke mwenye wazimu. Ndipo joka hilo likaelekea upande wa kaka. Fungua macho yako sasa hivi?
injiliyakweli.blogspot.com
Yesu Ni Njia: Niliokolewa Toka Kwenye Nguvu za Giza - Sehemu ya 4
http://injiliyakweli.blogspot.com/2014/04/niliokolewa-toka-kwenye-nguvu-za-giza_17.html
Thursday, April 17, 2014. Niliokolewa Toka Kwenye Nguvu za Giza - Sehemu ya 4. Sura ya 3: Utawala mwovu. Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele. Aliniambia kuwa ndiye aliyehusika kuwaua wazazi wangu. Mkutano wangu na shetani. Tuliondoka mara moja na tulipofika kule ndipo nikajua kuwa ningekuwa na mkutano na Lusifa. Katika mkutano ule, shetani alitupa maelekezo yafuatayo: kupambana na wanaoamini na sio wale wasioamini, maana wasioamini tayari.
injiliyakweli.blogspot.com
Yesu Ni Njia: Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 6
http://injiliyakweli.blogspot.com/2014/12/kubatizwa-kwa-moto-uwakao-6.html
Saturday, December 13, 2014. Kubatizwa kwa Moto Uwakao - 6. SIKU YA 13 = =. Leo yalikuwapo mashambulizi makubwa kutoka kwa mapepo. Wakati ninaomba, nilipelekwa hadi kwenye sehemu yenye giza, ambayo nilijua kuwa ni kuzimu. Niliona mapepo mengi ambayo yalikuwa yamezunguka kiumbe kikubwa kiovu. Kiumbe hiki kikubwa kilionekana kina hamaki pamoja na hofu. Kilipiga kelele na kuhaha huku na huku, na kuonekana kimechanganyikiwa na kisichokuwa na utulivu. Mshambulieni Mchungaji Kim kwa nguvu zote! Kisha ibilisi a...
injiliyakweli.blogspot.com
Yesu Ni Njia: Niliokolewa Toka Kwenye Nguvu za Giza - Sehemu ay 3
http://injiliyakweli.blogspot.com/2014/04/niliokolewa-toka-kwenye-nguvu-za-giza.html
Sunday, April 6, 2014. Niliokolewa Toka Kwenye Nguvu za Giza - Sehemu ay 3. Agano Langu na Alice. Mapema asubuhi moja, Alice aliniambia kuwa kulikuwa na sherehe ya muhimu iliyotakiwa kufanywa kwenye nyumba yake. Saa 8 usiku alileta mtoto mchanga wa kike anayetambaa, akiwa hai. Mbele ya macho yangu, Alice alitumia vidole vyake kunyofoa macho ya mtoto yule! Kilio cha mtoto huyo kiliniumiza sana! Kisha alimkatakata vipande na kumimina damu pamoja na nyama kwenye sinia na kuniambia nile. Nilikataa! Alice ali...
injiliyakweli.blogspot.com
Yesu Ni Njia: Mbinguni, peponi, kuzimu na jehanamu
http://injiliyakweli.blogspot.com/2014/04/mbinguni-peponi-kuzimu-na-jehanamu.html
Saturday, April 12, 2014. Mbinguni, peponi, kuzimu na jehanamu. Mpendwa mmoja aliniuliza maswali yafuatayo ambayo nimeona ni muhimu niyajibu kama Makala fupi kwa ajili hata ya faida ya watu wengine wenye maswali kama haya:. Swali la 1: Hivi watu wakifa, roho zao zinakuwa wapi hasa? Swali la 2: Roho hizo zinakuwa katika hali gani hasa? WATU WAKIFA, ROHO ZAO ZINAKUWA WAPI? Biblia inasema kuhusu Bwana Yesu kuwa:. Kulingana na mstari huu, tunagundua kuwa kuna sehemu kuu tatu:. Yule tajiri naye akafa, akazikwa.
injiliyakweli.blogspot.com
Yesu Ni Njia: Niliokolewa Toka Kwenye Nguvu za Giza - Sehemu ya 6
http://injiliyakweli.blogspot.com/2014/06/niliokolewa-toka-kwenye-nguvu-za-giza.html
Monday, June 2, 2014. Niliokolewa Toka Kwenye Nguvu za Giza - Sehemu ya 6. Sura ya 4: Jinsi shetani anavyopambana na Wakristo. 8220;Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.” (Efe 6:12). Baada ya amri kutoka kwa Lusifa ya kupambana na Wakristo, tulikaa na kupanga njia zetu za kupambana nao kama ifuatavyo:. 3 Kusababisha usingizi Kanisani. 4 Kusababisha machafuko Kanisani.