fredynjeje.blogspot.com
Fredy Njeje Blog: HOT NEWS: PROFESA IBRAHIM LIPUMBA AJIUZULU NYAZIFA ZOTE CUF NA UKAWA, ABAKI MWANACHAMA WA KAWAIDA
http://fredynjeje.blogspot.com/2015/08/hot-news-profesa-ibrahim-lipumba.html
Listen and download musics for free. Thursday, 6 August 2015. HOT NEWS: PROFESA IBRAHIM LIPUMBA AJIUZULU NYAZIFA ZOTE CUF NA UKAWA, ABAKI MWANACHAMA WA KAWAIDA. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Peacock leo jijini Dar es salaam wakati akitangaza kujuuzulu nyazifa zake zote katika chama hicho na kubaki mwanachama wa kawaida kutokana kile alichokiita dhamira inamsuta.(NA KIKOSKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM). Ameel...
fredynjeje.blogspot.com
Fredy Njeje Blog: MASHIRIKA MATANO YA KITAIFA NA KIMATAIFA(FOS) YAUNGANA KWA PAMOJA KUTOA ELIMU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015
http://fredynjeje.blogspot.com/2015/08/mashirika-matano-ya-kitaifa-na.html
Listen and download musics for free. Thursday, 6 August 2015. MASHIRIKA MATANO YA KITAIFA NA KIMATAIFA(FOS) YAUNGANA KWA PAMOJA KUTOA ELIMU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015. Wasemaji kutoka Mashirika Matano Kutoka kushoto ni Msemaji kutoka LHRC,OXFAM, Restless Development, BBC na VSO. Hellen Kijo Bisimba ambaye ni Mkurugenzi mtendaji wa kituo cha sheria na haki. Meneja wa Programu kitengo cha Governance kutoka Oxfam Bi. Betty Malaki akiendelea kutoa utaratibu katika Mkutano huo. Mwakilishi kutoka Shirika la U...
fredynjeje.blogspot.com
Fredy Njeje Blog: JUST IN: MKUTANO MKUU ADC WAMPITISHA, CHIEF LUTASOLA YEMBA KUWA MGOMBEA URAIS TANZANIA BARA, SAID MIRAJI ABDULLAH MGOMBEA MWENZA
http://fredynjeje.blogspot.com/2015/08/just-in-mkutano-mkuu-adc-wampitisha.html
Listen and download musics for free. Wednesday, 5 August 2015. JUST IN: MKUTANO MKUU ADC WAMPITISHA, CHIEF LUTASOLA YEMBA KUWA MGOMBEA URAIS TANZANIA BARA, SAID MIRAJI ABDULLAH MGOMBEA MWENZA. M gombea urais wa chama cha ADC, Zanzibar, Hamad Rashid Hamad, akihutubia katika mkutano huo. Makamu Mwenyekiti wa ADC, Zanzibar, Faki Hamisi Silima, akizungumza katika mkutano huo. Katibu Mkuu wa chama hicho, Lydia Bendera akimpongeza. Said Miraji kwa kuteuliwa kuwa mgombea mwenza. Wednesday, August 05, 2015.
fredynjeje.blogspot.com
Fredy Njeje Blog: MAZISHI YA KAMISHINA MSAIDIZI WA MAGEREZA(SACP), ANNETHY LAURENT
http://fredynjeje.blogspot.com/2015/08/mazishi-ya-kamishina-msaidizi-wa.html
Listen and download musics for free. Thursday, 6 August 2015. MAZISHI YA KAMISHINA MSAIDIZI WA MAGEREZA(SACP), ANNETHY LAURENT. Aliyekuwa Mkuu wa Magereza Mkoa wa Shinyanga Kamishina Msaidizi wa Magereza (SACP) Annethy Laurent. Mwili wa Marehemu Anneth ukiwasili katika Kanisa Katoliki Parokiani Segerea. Walio mbele ni Pamela. Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakati wa ibada ya kumuombea Marehemu. Magereza John C. Minja. Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama aliye pia Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga ...
fredynjeje.blogspot.com
Fredy Njeje Blog: UFUNGUZI WA KITUO CHA UTENGENEZAJI VIFAA VYA UMEME WA JUA,KIBOKWA
http://fredynjeje.blogspot.com/2015/08/ufunguzi-wa-kituo-cha-utengenezaji.html
Listen and download musics for free. Thursday, 6 August 2015. UFUNGUZI WA KITUO CHA UTENGENEZAJI VIFAA VYA UMEME WA JUA,KIBOKWA. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa kituo cha kufundishia Wanawake utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua Bibi Meagan Garnahan wakati aliposawasili katika uzinduzi wa kituo hicho katika kijiji cha Kibokwa Wilaya ya kaskazini A Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Moham...
fredynjeje.blogspot.com
Fredy Njeje Blog: RAIS KIKWETE AZINDUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA (TADB) DAR ES SALAAM LEO
http://fredynjeje.blogspot.com/2015/08/rais-kikwete-azindua-benki-ya-maendeleo.html
Listen and download musics for free. Friday, 7 August 2015. RAIS KIKWETE AZINDUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA (TADB) DAR ES SALAAM LEO. Rais Jakaya Kikwete, akivuta pazia kuashiria uzinduzi wa benki hiyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Thomas Samkyi, akizungumza katika uzinduzi huo. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo , Rosebud Violet Kurwijila, akizungumza katika uzinduzi huo. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Thomas Samkyi,. Mwenyekiti wa Bodi ya Wak...
fredynjeje.blogspot.com
Fredy Njeje Blog: NDESAMBURO AKUTANA NA DKT. WILBROAD SLAA JIJINI DAR ES SALAAM
http://fredynjeje.blogspot.com/2015/08/ndesamburo-akutana-na-dkt-wilbroad-slaa.html
Listen and download musics for free. Wednesday, 5 August 2015. NDESAMBURO AKUTANA NA DKT. WILBROAD SLAA JIJINI DAR ES SALAAM. ALIYEKUWA Mbunge wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Ndesamburo, maarufu kama "Ndesa Pesa", amekutana jijini Dar es Salaam leo na Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye ilielezwa hapo awali na chama chake kuwa kwa sasa yuko mapumzikoni, Dkt. Wilbroad Slaa, nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Wednesday, August 05, 2015. Subscribe to: Post Comments (Atom). Please share this blog. Subscribe To Fre...
SOCIAL ENGAGEMENT