ndabuli.blogspot.com
Mtizamo wangu: CHAI,ZAMBARAU NA FULLLIGHT !
http://ndabuli.blogspot.com/2007/07/chaizambarau-na-fulllight.html
Monday, July 30, 2007. CHAI,ZAMBARAU NA FULLLIGHT! Karibuni, Karibuni,Karibuni ngoja niwaongezee kiti. Asante Anti, du anti umependeza! We anko(anamjua jina lake) unacheka nini sasa? Mshikaji 1 wa Ndabuli. Yaani we Hadija leo unaniita anko? Mshikaji 2 wa Ndabuli. Hube tulete vinywaji hizo longolongo zenu mtaongea wakati tunakata kiu. Kunywa Kilimanjaro au Tusker. Kunywa Serengeti ndio yenyewe.mletee Serengeti darling wangu! Tena kwa msisitizo na sauti kubwa) Kahawa! Kwani hamuuzi kahawa hapa? Ila swala l...
ndabuli.blogspot.com
Mtizamo wangu: WADUDU NA MADEREVA NA JAMII
http://ndabuli.blogspot.com/2007/09/wadudu-na-madereva-na-jamii.html
Thursday, September 13, 2007. WADUDU NA MADEREVA NA JAMII. Inasemekana sisimizi au siafu au nyuki hana uelevu sana kama inavyofikirika kuwa nao. Ila kundi la sisimizi/siafu/nyuki ndio linauelevu (umenipata hapo? Utajiuliza sasa ikiwa hivyo ndio nini? Mimi napenda kuhusisha tabia hiyo na ule utaratibu wa madereva (Wa Tanzania) kuwashiana taa, yaani wanapeana ishara pale magari yanapopishana ndio wanawasiliana kuwa nanukuuu maandishi ya Ndesanjo. Trademark charecteristic of the gods: :. Since they didn't g...
ndabuli.blogspot.com
Mtizamo wangu
http://ndabuli.blogspot.com/2007/07/imagechefcom-custom-comment-codes-for.html
Wednesday, July 18, 2007. 19 July, 2007. Katibu Simon, nashukuru sana, ngoja nitulie kidogo nianze tena kuona tofauti ya ugenini na nyumbani. 20 July, 2007. 22 July, 2007. Mkuu nimekutag naomba utueleza vitu vinane tusiojua kuhusu wewe. 25 July, 2007. Karibu mzeee tumekumiss kwa muda mrefu, tulipata taarifa unakuja bongo tukakuandalia mtura au mabomu halafu hatukukuona, anyway hali vili lakini. 14 August, 2007. Aisee Charahani,nilifika, lakini Talented(unamkumbuka? 30 August, 2007. Within the context of ...
ndabuli.blogspot.com
Mtizamo wangu: 2007-02-04
http://ndabuli.blogspot.com/2007_02_04_archive.html
Wednesday, February 07, 2007. HADITHI HII KAKUFUNDISHA NANI? Nadhani ni wengi wanakumbuka msemo huu. umehadithiiaaa weee,. umemaliza hadithi yako.au.hapana umesiikiliza wee hadithi hadi imekwisha. halafu yule shangazi anakuuliza hadithi hii kakufundisha nani? Maana yake ni nini? Ngonja ni kupe kisa kimoja kilinitokea wakati huo nikiwa Sekondari. Sekondari ile (sikutajii mpaka unipe mji! Aa wapi huo unanonipa sitaki) naikumbuka kwa sheria zake ,. 3aah ngoja niishie hapo. turudi kwenye kwenye kisa. Lengo l...
ndabuli.blogspot.com
Mtizamo wangu: 2007-04-22
http://ndabuli.blogspot.com/2007_04_22_archive.html
Monday, April 23, 2007. Nimerudi tena Jamani. Baada ya kufuta vumbi nyumbani na kusalimia mtaani nikaona ngoja niwabeep (au niwa dipu kama anavyosema Chesi Mpilipili. Wale walionitembelea wakati sipo na kuacha ujumbe. Na wale waliopita kimyakimya. Katika mihangaiko yangu nilifika pale Parisi, Ufaransa na nilitembelea ule mnara wao maharufu (ingawa walitaka kuuondoa mwanzoni) wa Eiffel. Angalia pale juu kileleni ndio kuna hayo maandishi hapa chini. Na huu ni umbali Kuelekea Dar es salaam.
ndabuli.blogspot.com
Mtizamo wangu: Prof.CHACHAGE, MAMA TERESA
http://ndabuli.blogspot.com/2007/09/profchachage-mama-teresa.html
Thursday, September 06, 2007. ProfCHACHAGE, MAMA TERESA. Kama wewe huwa unapita pita hapa kibarazani kwangu utakuwa unashangaa aaah! Huyu Ndabuli naye kwa kutofuata ahadi zake ni kiboko ( kivipi? Si kwenye mtundiko uliopita alisema atazungumzia zaidi kuhusu kisa cha kununua kahawa kwenye bar na Kuhusu kuwashiana taa kwa madereva .huyu bwana .#¤%& .kabisa na hata kwa waliotoa maoni alisistiza hivyo.( kama wewe ndio umenitembelea leo soma makala hiyo ya chini) au bonya hapa. Ambacho kwa wingi kina maelezo ...
ndabuli.blogspot.com
Mtizamo wangu: 2007-02-25
http://ndabuli.blogspot.com/2007_02_25_archive.html
Tuesday, February 27, 2007. MASIMULIZI YA SINEMA-THE CONSTANT GARDENER. Unakumbuka enzi zile (wale tulioiishi enzi hizo,ingawa sasa nasikia katabia haka kameanza tena)za kwenda kwenye majumba ya sinema kuangalia sinema mbalimbali? Lengo langu basi mimi leo ni Kukusimulia moja ya sinema ambayo inanifikirisha sana mpaka leo hii sinema sasa nimeisha iangalia mara tatu. Sinema hii inakufanya ufikiri zaidi kwa mambo mengi yanayotokea katika nchi zetu (wao wanaziita zinazoendelea). Ni kweli magonjwa yamekuwa m...
ndabuli.blogspot.com
Mtizamo wangu
http://ndabuli.blogspot.com/2007/04/nimerudi-tena-jamani.html
Monday, April 23, 2007. Nimerudi tena Jamani. Baada ya kufuta vumbi nyumbani na kusalimia mtaani nikaona ngoja niwabeep (au niwa dipu kama anavyosema Chesi Mpilipili. Wale walionitembelea wakati sipo na kuacha ujumbe. Na wale waliopita kimyakimya. Katika mihangaiko yangu nilifika pale Parisi, Ufaransa na nilitembelea ule mnara wao maharufu (ingawa walitaka kuuondoa mwanzoni) wa Eiffel. Angalia pale juu kileleni ndio kuna hayo maandishi hapa chini. Na huu ni umbali Kuelekea Dar es salaam. 24 April, 2007.
ndabuli.blogspot.com
Mtizamo wangu: 2007-03-11
http://ndabuli.blogspot.com/2007_03_11_archive.html
Thursday, March 15, 2007. Leo sina cha kuandika (aa mbona naandika lakini! Ngoja nianze na "Blooks prize". Vitabu 15, kutoka nchi tano tofauti vimetajawa ambavyo vitashiriki katika kuchaguliwa kupata zawadi ya lulu. Ni vitabu ambavyo vinatokana na blogu, yaani yale mambo yako uliyoyaandika unayafanya kitabu. Mshindi wa mwaka jana alikuwa aliyekuwa na blogu amabayo aliandika MWAKA WANGU WA KUPIKA VIBAYA/HATARI (MY YEAR OF COOKING DANGEROUSLY). Lingine ni lile sakata la bomba la mafuta kwenda kanda ya ziwa...
ndabuli.blogspot.com
Mtizamo wangu: 2007-07-15
http://ndabuli.blogspot.com/2007_07_15_archive.html
Wednesday, July 18, 2007. Subscribe to: Posts (Atom). Napenda kufikiria na kujiuliza hivi kwanini? View my complete profile.