mtaakwamtaa.co.tz
Wadau mbalimbali wapongeza Nishati na Madini kwa mfumo wa TREMIS | MTAA KWA MTAA BLOG
http://www.mtaakwamtaa.co.tz/2017/01/wadau-mbalimbali-wapongeza-nishati-na.html
Mtaa Kwa Mtaa Blog. Find us on instagram. Listen Times FM Live. KAMERA YA MTAA KWA MTAA. MTAA KWA MTAA TV. Wadau mbalimbali wapongeza Nishati na Madini kwa mfumo wa TREMIS. Kamishna Msaidizi- Nishati Jadidifu kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Styden Rwebangila akielezea faida za mfumo wa uhifadhi data na utoaji taarifa kwa ajili ya nishati jadidifu (TREMIS) mbele ya wadau wa nishati jadidifu (hawapo pichani). Wadau wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zinawasilishwa katika kikao hicho. Wadau...
mtaakwamtaa.co.tz
MWILI WA ALIEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM, WILSON KABWE WAAGWA LEO JIJINI DAR | MTAA KWA MTAA BLOG
http://www.mtaakwamtaa.co.tz/2016/05/mwili-wa-aliekuwa-mkureugenzi-wa-jiji.html
Mtaa Kwa Mtaa Blog. Find us on instagram. Listen Times FM Live. KAMERA YA MTAA KWA MTAA. MTAA KWA MTAA TV. MWILI WA ALIEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM, WILSON KABWE WAAGWA LEO JIJINI DAR. Jeneza lenye Mwili wa aliekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Marehemu Wilson Mbonea Kabwe, wakati wa zoezi la kuaga lililofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, Jijini Dar es salaam leo. Tuesday, May 24, 2016. KAMERA YA MTAA KWA MTAA. KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]. Daktari Bingwa wa Macho wa H...
mtaakwamtaa.co.tz
NEC YATOA UFAFANUZI WA MALALAMIKO YA UKIUKWAJI WA MAADILI YA UCHAGUZI YALIYOTOLEWA NA ACT-WAZALENDO. | MTAA KWA MTAA BLOG
http://www.mtaakwamtaa.co.tz/2017/01/nec-yatoa-ufafanuzi-wa-malalamiko-ya.html
Mtaa Kwa Mtaa Blog. Find us on instagram. Listen Times FM Live. KAMERA YA MTAA KWA MTAA. MTAA KWA MTAA TV. NEC YATOA UFAFANUZI WA MALALAMIKO YA UKIUKWAJI WA MAADILI YA UCHAGUZI YALIYOTOLEWA NA ACT-WAZALENDO. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Ramadhani Kailima akitoa Ufafanuzi kuhusu malalamiko ya ukiukwaji wa maadili ya Uchaguzi yaliyotolewa na Chama cha ACT WAZALENDO. Na Aron Msigwa –NEC. Bw Kailima amesema taarifa ya Chama hicho iliyotolewa kwenye Vyombo vya Habari Januari, 12 201...
mtaakwamtaa.co.tz
LOWASSA ATEMBELEA ENEO LA KAISHO AMBALO HALIJAFIKIWA NA VIONGOZI WA NGAZI ZA JUU ZA KISERIKALI KWA MIAKA MINGI | MTAA KWA MTAA BLOG
http://www.mtaakwamtaa.co.tz/2017/01/lowassa-atembelea-eneo-la-kaisho-ambalo.html
Mtaa Kwa Mtaa Blog. Find us on instagram. Listen Times FM Live. KAMERA YA MTAA KWA MTAA. MTAA KWA MTAA TV. LOWASSA ATEMBELEA ENEO LA KAISHO AMBALO HALIJAFIKIWA NA VIONGOZI WA NGAZI ZA JUU ZA KISERIKALI KWA MIAKA MINGI. Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa amefanikiwa kufika katika eneo la Kaisho ambalo liko katika wilaya mpya ya Kyerwa mkoani Kagera. Licha ya kumsubiri kwa muda mrefu sana, wakazi hao wa Kaisho na maeneo jirani wakiwa w...
mtaakwamtaa.co.tz
MECHI ZA LIGI KUU ENGLAND WIKIEND HII | MTAA KWA MTAA BLOG
http://www.mtaakwamtaa.co.tz/2017/01/mechi-za-ligi-kuu-england-wikiend-hii.html
Mtaa Kwa Mtaa Blog. Find us on instagram. Listen Times FM Live. KAMERA YA MTAA KWA MTAA. MTAA KWA MTAA TV. MECHI ZA LIGI KUU ENGLAND WIKIEND HII. Tottenham Vs Wes Brom. Hull City v Bournemouth. Sunderland v Stoke City. Swansea City v Arsenal. West Ham United v Crystal Palace. Leicester City v Chelsea. Everton v Manchester City. Manchester United v Liverpool. Friday, January 13, 2017. KAMERA YA MTAA KWA MTAA. KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]. Mkulima mmoja aitwaye OMARY SULULU mapema Leo tar 1 January ...
mtaakwamtaa.co.tz
MKAPA, MWINYI KUONGOZA MATEMBEZI YA “WALK FOR ELPHANT DAR ES SALAAM 2017” | MTAA KWA MTAA BLOG
http://www.mtaakwamtaa.co.tz/2017/01/mkapa-mwinyi-kuongoza-matembezi-ya-walk.html
Mtaa Kwa Mtaa Blog. Find us on instagram. Listen Times FM Live. KAMERA YA MTAA KWA MTAA. MTAA KWA MTAA TV. MKAPA, MWINYI KUONGOZA MATEMBEZI YA “WALK FOR ELPHANT DAR ES SALAAM 2017”. MKAPA kuongoza matembezi ya hiari ya kilomita tano yanayojulikana kama Walk for Elephant Dar es Salaam 2017yatayofanyika kesho kuanzaia saa 12 asubuhi yaikianzia Ubalozi wa China hadi Sea Cliff Hotel. Kahama amesema kuwa yana lengo la kuonyesha umoja katika kupinga ujangili unaofanywa dhidi ya Tembo. Chama hicho kimekusudia k...
mtaakwamtaa.co.tz
BAADHI YA VITUO VYA MAFUTA HAVINA MAZINGIRA BORA-KAIMU RC, HAPI | MTAA KWA MTAA BLOG
http://www.mtaakwamtaa.co.tz/2017/01/baadhi-ya-vituo-vya-mafuta-havina.html
Mtaa Kwa Mtaa Blog. Find us on instagram. Listen Times FM Live. KAMERA YA MTAA KWA MTAA. MTAA KWA MTAA TV. BAADHI YA VITUO VYA MAFUTA HAVINA MAZINGIRA BORA-KAIMU RC, HAPI. Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii. KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Hapi amesema kuwa baadhi ya vituo vya mafuta havina ubora wa mazingira licha ya kuwa na majina makubwa. Amesema kuwa kuna kampuni imejitolea kutoa mitambo ya kufanya kazi hiyo lakini waliomba mafuta nijitegemee kwa kupata mafuta kwa hayo kazi itafanyika. Kaimu...
mtaakwamtaa.co.tz
WAZIRI MUHONGO AKUTANA NA KAMATI YA WACHIMBAJI NA WANUNUZI WA JASI NA MAKAA YA MAWE TANZANIA | MTAA KWA MTAA BLOG
http://www.mtaakwamtaa.co.tz/2017/01/waziri-muhongo-akutana-na-kamati-ya.html
Mtaa Kwa Mtaa Blog. Find us on instagram. Listen Times FM Live. KAMERA YA MTAA KWA MTAA. MTAA KWA MTAA TV. WAZIRI MUHONGO AKUTANA NA KAMATI YA WACHIMBAJI NA WANUNUZI WA JASI NA MAKAA YA MAWE TANZANIA. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akizungumza kwenye mkutano na. Kamati ya Wachimbaji na Wanunuzi wa Jasi na Makaa ya Mawe Tanzania. Masuala mbalimbali kuhusiana na biashara ya madini hayo kwa ujumla yalijadiliwa kwa lengo la kuleta tija kwa pande zote na Taifa kwa ujumla. Naibu ...
mtaakwamtaa.co.tz
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015 YATOKA | MTAA KWA MTAA BLOG
http://www.mtaakwamtaa.co.tz/2016/02/matokeo-ya-kidato-cha-nne-2015-yatoka.html
Mtaa Kwa Mtaa Blog. Find us on instagram. Listen Times FM Live. KAMERA YA MTAA KWA MTAA. MTAA KWA MTAA TV. MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015 YATOKA. BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015. Thursday, February 18, 2016. KAMERA YA MTAA KWA MTAA. KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]. HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYONOGA KATIKA SHEREHE YA NDOA YA MASANJA MKANDAMIZAJI NA MKEWE MONICA. HUZUNI YATAWALA MAHAKAMANI WAKATI DAKTARI AKITOA USHAHIDI DHIDI YA SCORPION. BREAKING NEWS: TCRA YAZIPIGA PINI MICHUZI TV, AYO TV...
mtaakwamtaa.co.tz
AJALI YA MAAJABU JIJINI DAR | MTAA KWA MTAA BLOG
http://www.mtaakwamtaa.co.tz/2016/09/ajali-ya-maajabu-jijini-dar.html
Mtaa Kwa Mtaa Blog. Find us on instagram. Listen Times FM Live. KAMERA YA MTAA KWA MTAA. MTAA KWA MTAA TV. KAMERA YA MTAA KWA MTAA. AJALI YA MAAJABU JIJINI DAR. Wapita njia wakitazama "maajabu" gari hili lililokuwa likitoka Mtongani kuelekea Mbagala jijini Dar es Salaam, likiwa limeacha njia na kuparamia kingo ya barabara lakini lakustaajabisha wengi gari hilo liliparamia kingo hiyo kwa nyuma kama inavyoonekana.Picha na K-Vis Blog. Wednesday, September 28, 2016. KAMERA YA MTAA KWA MTAA. TAARIFA ZILIZOTUF...