sw.ndanda.org
Shirika Letu | Abasia ya Ndanda - Karibu!
http://www.sw.ndanda.org/shirikaletu
Skip to main content. Abasia ya Ndanda - Karibu! Wabenediktini Wamisionari - P.O. Ndanda Tanzania. Ukanda wa Afrika una idadi kubwa zaidi ya watawa katika Shirika. Zaidi ya 43% ya Watawa wote wa shirika wanatokea ukanda huu. Kutokana na Ubenediktini kuota mizizi zaidi Tanzania, nyumba nne kubwa za Ndanda, Peramiho,. Zinajitegemea. Zingine ni Tigoni. Afrika Kusini) na Tororo (Uganda).Idadi kubwa zaidi ya Watawa inapatikana Hanga. Akisaidiwa na Bradha Ansgar Stüfe. Katibu -Togo). Zaidi. Wabenediktini Wamis...
sw.ndanda.org
Uchapishaji - Ndanda Mission Press | Abasia ya Ndanda - Karibu!
http://www.sw.ndanda.org/node/103
Skip to main content. Abasia ya Ndanda - Karibu! Wabenediktini Wamisionari - P.O. Ndanda Tanzania. Uchapishaji - Ndanda Mission Press. Ambavyo pia kutafsiriwa kwa lugha za Kiteso na Kikalenjini (Kenya). Mfululizo mwingine ulijulikana kama Wananchi Kuchambua Teolojia. Ambavyo vilikuwa msaada mkubwa kwa mapadre katika kuhuburi Injili. Utafsiri wa Agano Jipya na Zaburi ulifanyika chini ya uongozi wa P. Alkuin ukifuatiwa na uchapishaji wa mfululizo mwingine uliojulikana kama Tufikirie .
sw.ndanda.org
Hospitali | Abasia ya Ndanda - Karibu!
http://www.sw.ndanda.org/node/97
Skip to main content. Abasia ya Ndanda - Karibu! Wabenediktini Wamisionari - P.O. Ndanda Tanzania. SAMBAMBA na lengo la msingi la kuhubiri Habari Njema, lengo jingine la Wamisionari wetu wa Kibenediktini lilikuwa ni kuhudumia wagonjwa. Utume huu waliufanya tangu mwanzo kabisa wa kazi yao ya kimisionari. Kushoto: Wodi ya wenye shida za mifupa wakisubiri kupona;. Kulia: Akina Mama vijana wanafurahia baraka ya kupata watoto katika wodi ya akina Mama. Kwa ushirikiano kati ya Abasia na masista wa Tutzing, hos...
sw.ndanda.org
Magari & Chuma | Abasia ya Ndanda - Karibu!
http://www.sw.ndanda.org/node/102
Skip to main content. Abasia ya Ndanda - Karibu! Wabenediktini Wamisionari - P.O. Ndanda Tanzania. KWA MIAKA MINGI karakana ya kukarabati magari ya Ndanda imekuwa inatoa mchango mkubwa katika utengenezaji wa magari kwa ajili ya wamisionari, majimbo ya jirani na kwa watu binafsi. Siku hizi "Gereji Ndanda" kama inavyojulikana, inajivunia kuwa na mafundi wazoefu wawezao pia kutoa elimu ya nadharia na ya vitendo kwa vijana wanajiunga na fani hiyo. Usanifu na uundaji wa gatasi kwa ajili ya majengo (kushoto).
sw.ndanda.org
Idara ya Ujenzi | Abasia ya Ndanda - Karibu!
http://www.sw.ndanda.org/node/107
Skip to main content. Abasia ya Ndanda - Karibu! Wabenediktini Wamisionari - P.O. Ndanda Tanzania. IDARA YA UJENZI ya Abasia imekuwa kati ya idara muhimu kabisa katika historia ya Ndanda kama kituo cha Kimisionari. Imepanga na kusimimia miradi mbalimbali ya ujenzi kama:. Ujenzi wa Makanisa, Shule na Hospitali. Ujenzi wa nyumba za maparokia na zile za Kitawa,. Ujenzi wa madaraja,. Ujenzi wa majengo mapya na ukarabati wa yale yanayochakaa. Licha ya shughuli za kusanifu, kujenga na kukarabati majengo, Idara...
sw.ndanda.org
Uchungaji | Abasia ya Ndanda - Karibu!
http://www.sw.ndanda.org/node/96
Skip to main content. Abasia ya Ndanda - Karibu! Wabenediktini Wamisionari - P.O. Ndanda Tanzania. SAMBAMBA NA KUISHI wito wao wa kimonaki, Wamisionari wa Kibenediktini waliazimia tangu awali kupandiza mbegu ya Ukristo na kuruhusu Kanisa mahalia lichupue, kukua na kujitegemea. Hata siku hizi parokia mbalimbali zinaongozwa na Watawa wa Ndanda katia majimbo ya Lindi, Mtwara na Tanga. Parokia ya Ndanda, SLP Ndanda. Parokia hii ambayo inapatikana katika jimbo la Mtwara iko takriban kilometa 6 magharibi ya Nd...
sw.ndanda.org
Kituo cha Zakeo | Abasia ya Ndanda - Karibu!
http://www.sw.ndanda.org/node/98
Skip to main content. Abasia ya Ndanda - Karibu! Wabenediktini Wamisionari - P.O. Ndanda Tanzania. KITUO CHA KIROHO ZAKEO (Spiritual Centre) kilianzishwa mwaka 1990 na Pd. Severin Pieper ambaye kwa muda mrefu amekuwa mkurugenzi wake. Lengo mama la kituo limekuwa siku zote:. Kuimarisha imani ya wabatizwa hasa walei na kuwasaidia kuelewa nafasi na mchango wao katika kanisa katika muono wa Mtaguso wa Pili wa Vatikano. Semina mbalimbali hutolewa na kituo kwa makundi yafuatayo. Siku hizi kituo cha kiroho cha ...
sw.ndanda.org
Historia | Abasia ya Ndanda - Karibu!
http://www.sw.ndanda.org/node/5
Skip to main content. Abasia ya Ndanda - Karibu! Wabenediktini Wamisionari - P.O. Ndanda Tanzania. HISTORIA YA ABASIA KWA UFUPI. Kuwa Msimamizi wa Kitume wa Zanzibar Kusini. Eneo lake la kichungaji lilikuwa kama kilometa za mraba 400,000 hivi. Kushoto: Mwanzilishi na Mkuu wa Kwanza wa Shirika Pd. Andreas Amrhein. Kulia: Abate Placidus Mtunguja; 2015 -. Kushoto: Joachim Ammanm, Abate Askofu I; 1932-1949. Kulia: Dionys Lindenmaier, Abate IV, 2001 - 2015. Huu ulikuwa ni wakati mgumu, lakini hata hivyo Ndand...
sw.ndanda.org
Tunapopatikana | Abasia ya Ndanda - Karibu!
http://www.sw.ndanda.org/node/146
Skip to main content. Abasia ya Ndanda - Karibu! Wabenediktini Wamisionari - P.O. Ndanda Tanzania. MAELEZO MUHIMU KUHUSU NDANDA. Kusini Mashariki mwa Tanzania. Kutoka Dar es Salaam: Kwa ndege hadi Mtwara, kisha km 160 kwa gari au basi hadi Ndanda. Barabara ni ya lami. Mabasi kutoka Dar es Salaam hadi Ndanda/Masasi yanapatikana kila siku. Safari yachukua walau saa 8 hivi. Ndanda ni eneo lenye joto hasa miezi ya Septemba hadi Machi. Kuanzia mwezi Mei hadi Julai kuna ubaridi wa kadiri.
sw.ndanda.org
Utume Online | Abasia ya Ndanda - Karibu!
http://www.sw.ndanda.org/utumeonline
Skip to main content. Abasia ya Ndanda - Karibu! Wabenediktini Wamisionari - P.O. Ndanda Tanzania. Ni huduma ya kichungaji itolewayo na Jumuiya yetu kwa njia ya Internet. Huduma hii inatolewa kwa lengo la kukusaidai katika safari yako ya imani. Inatolewa kwa njia mbili:. Unalo swali lolote juu ya Imani, Maadili, Kanisa, Biblia au Maisha ya Kiroho kwa ujumla? Swali / Ombi *. Abasia ya Wabenediktini Wamisionari Ndanda - 2012. Haki zote zimehifadhiwa!
SOCIAL ENGAGEMENT