nipehabari.blogspot.com
NIPEHABARI
http://nipehabari.blogspot.com/2011/10/tarehe-10-ya-mwezi-septemba-siku-moja.html
Monday, October 3, 2011. Tarehe 10 ya mwezi Septemba, siku moja tu kabla ya Kumbukumbu ya Septemba 11, siku ambayo dunia nzima inakumbuka maadhimisho ya miaka 10 ya Septemba 11, Zanzibar ilipata Maafa ya kihistoria. Nini kilichotokea. . . ? Baada ya kuadhimisha kumalizika kwa Mwezi wa Ramadhani, Nilikuwa na ndoto mbaya juu ya familia yangu, na kwa sababu mke Wangu alipanga kusafiri, nilikuwa na wasiwasi sana kuhusu safari hii." Alisema Sabry. Nilifanya Maandalizi yote kwa ajili ya safari hii ikiwa ni pam...
nipehabari.blogspot.com
NIPEHABARI: September 2009
http://nipehabari.blogspot.com/2009_09_01_archive.html
Tuesday, September 29, 2009. Bongo Star search nusu fainali live kesho kuanzia saa 3:30 ndani ya www.dar411.com karibuni wadau wote . Tuesday, September 29, 2009. Moses Rubaga a.k.a Mez B usiku wa kuamkia weekend hii alipata kipigo cha hatari na watu wasiojulikana mara baada ya kusababisha ajali nje ya ukumbi wa Club 84 Mjini Dodoma. Tuesday, September 29, 2009. Monday, September 28, 2009. Karibuni tena kwenye sakata la nipehabari leo habariilio tufikia ni kuhusu huyu mdau aliyenyoa nyele zake kama kofia!
nipehabari.blogspot.com
NIPEHABARI: July 2009
http://nipehabari.blogspot.com/2009_07_01_archive.html
Friday, July 31, 2009. Mambo ya ubunifu wa mavazi unavyo pamba moto huko ukerewe nazani kila mmoja anapajua, haya kazi kwenu wabunifu wetu wa mavazi bongo . Friday, July 31, 2009. Lady Jaydee a.k.a Manka. Ambaye anamiliki bendi iliyoko juu kwasasa Bongo “Machozi Band” inyotumia mtindo wa “Sanya Sanya” amesema anategemea kusimamisha maonyesho yake kwa kipindi cha mwezi mmoja kupisha mfungo wa mwezi wa Ramadhani ambao unakaribia. Jaydee pia aliwaambia watu sababu gani siku hizi anaitwa Manka. 8220;Unajuwa ...
nipehabari.blogspot.com
NIPEHABARI: April 2009
http://nipehabari.blogspot.com/2009_04_01_archive.html
Friday, April 24, 2009. Friday, April 24, 2009. Nakaaya awalaumu Fid Q Klynn. Inasemekana kwamba mwanadada Nakaaya amekerwa sana na kitendo cha wasanii wawili kutomuonesha ushirikiano katika kazi. Habari zinasemea kuwa Nakaaya aliwaomba wasanii wengi wakali wajitokeze studio wakati wa kurecord wimbo wake wa 'I am an African' na kuingiza sauti zao katika ngoma hiyo, lakini Fid Q na K-Lyinn walishindwa kutokea. Uwanja wa Taifa huenda ukafungwa. Alisema kuwa wizara yake inashangazwa na mapato kidogo yanapop...
nipehabari.blogspot.com
NIPEHABARI: March 2010
http://nipehabari.blogspot.com/2010_03_01_archive.html
Tuesday, March 30, 2010. 2NITE 2NITE LONDON PEOPLE GET READY 4 AMANI SHOW! This friday 9th april Amani is perfoming live @club afrique and Saturday 10th bristol for more info pls inbox me! Thanx to everyone who showed up in Reading show we had a blast! U dont wanna miss this one! HAYA WADAU HUYU NDIE NABII TITO AMBAE ANASEMAA YA KWAMBA POMBE DAWA. IMEMPONYA GONJWA SUGU EMBU MSIKILIZE NABII TITO MDAU KARIBU SANA,. ALL NATIONS EASTER SUDAY 4TH APRIL 2010. BONGODEEJAYS proudly Presents 2009 MTV MAMA AFRICA.
nipehabari.blogspot.com
NIPEHABARI: January 2009
http://nipehabari.blogspot.com/2009_01_01_archive.html
Tuesday, January 27, 2009. Makasi: Ivory Coast njia ya kwenda Ulaya. Profesa Jay: Wanaoua albino ni hatari kuliko mafisadi wa EPA na Richmond,. MSANII mkongwe wa miondoko ya hip hop nchini, Profesa Jay ametangaza kuuanza mwaka 2009 kwa kuingia kwenye vita dhidi ya mauaji ya Watanzania wenye ulemavu wa ngozi Albino? Profesa Jay ambaye jina lake halisi ni Joseph Haule ameiambia Mwanaspoti kwamba, pamoja na ukatili huo kuonekana ni kama filamu au hadithi kwa watu wengine hapa nchini. Najua nchi kadhaa zimek...
nipehabari.blogspot.com
NIPEHABARI: December 2009
http://nipehabari.blogspot.com/2009_12_01_archive.html
Thursday, December 3, 2009. Baadhi ya wachezaji wa taifa stars. toka kushoto ni nizar khalfani ambae anacheza soka la kulipwa nchini cannada, nsajigwa na mrisho ngasa kila mwanainchi anaimani na wachezaji hawa ushindi wetu dhidi ya Ivory Coast. FLEX ENTERTAINMENT PROUDLY PRESENTS:. ALL WHITE XMAS EVE PARTY THURSDAY 24tH DEC. LADIES FREE and GENTS £5 ALL NIGHT. NEW YEARS EVE EXTRAVAGANZA THURSDAY 31st DEC. ENTRY £10 ALL NIGHT. 9733;★★ BOXING DAY HYPE ★★★. TELL THE WORLD - TELL A FRIEND! Exit M4 @ J11, fol...
nipehabari.blogspot.com
NIPEHABARI: February 2010
http://nipehabari.blogspot.com/2010_02_01_archive.html
Tuesday, February 23, 2010. Around the NBA: Hasheem Thabeet scores 19 in D-League;Lester Hudson debut. Grizzlies center Hasheem Thabeet. Scored 19 points and grabbed 16 rebounds on Sunday in his second game with the NBA Development League's. Dakota Wizards, and guard Lester Hudson. Scored nine points in his debut with the Wizards, after being assigned to the squad by the Grizzlies earlier in the day. Hudson did two stints in the D-League while with the Celtics. WA KUAGIZA GARI NJE YA NCHI. Humu kuna mata...
nipehabari.blogspot.com
NIPEHABARI: April 2010
http://nipehabari.blogspot.com/2010_04_01_archive.html
Friday, April 30, 2010. Ras nas kushambulia jukwaa Beirut na Cairo. Mwanamuziki Ras Nas aka Nasibu Mwanukuzi na kikosi chake kikali watashambulia jukwaa katika miji ya Beirut na Cairo kwenye tamasha la Spring Festival 2010 tarehe 14 na 15 mwezi huu. Bendera ya Bongo itapeperushwa angani na kama wahenga walivyonena, asiye na mwana itabidi aelekee jiwe! Wadau mambo ya mjini haya. Habari njema kwa wapenzi wa muziki kutoka kwa. Nimetengeneza website www.rusumo.com. Ukiachana na maneno ya rusumo,mimi binafsi ...