ndgshilatu.blogspot.com
VIGOGO ZAIDI WA CCM NA SERIKALI WAZIDI KUIKIMBIA CCM NA KUJIUNGA NA CHADEMA | EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
http://ndgshilatu.blogspot.com/2015/08/vigogo-zaidi-wa-ccm-na-serikali-wazidi.html
KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com . Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light. VIGOGO ZAIDI WA CCM NA SERIKALI WAZIDI KUIKIMBIA CCM NA KUJIUNGA NA CHADEMA. VIGOGO ZAIDI WA CCM NA SERIKALI WAZIDI KUIKIMBIA CCM NA KUJIUNGA NA CHADEMA. Waliojiunga na CHADEMA ARUSHA :. 1Lawrence Masha anakabidhiwa kadi na Mbowe (waziri w zamani wa mambo ya ndani). 2Daniel Porokwa - katibu wa ccm Manyara. On Saturday, August 15, 2015.
moyo4afrika.org
Links - Moyo4Afrika e.V. - Ein Herz für Afrika !
http://www.moyo4afrika.org/links
Hier finden Sie weiterführende Infos:. Bei betterplace: https:/ www.betterplace.org/de/projects/9790. Unterstützt wird das Waisenhaus imuma auch von:. Der Partnerschule: www.copernicus-gymnasium.de. Dem befreundeten Verein www.afrika-hilfe-franken.de. Freundeskreis Bagamoyo: www.bagamoyo.com. Offizielle Seite von Tansania: www.tanzania.go.tz. World Factbook: Veröffentlichungen über Tanzania. Auswärtiges Amt: Infos zu Tanzania. Tansanisches Konsulat in Deutschland. Deutsches Konsulat in Tansania.
kishindoleo.blogspot.com
KISHINDO LEO: Vilio na majonzi miili ya wanajeshi waliokufa Darfur ilipowasili Tanzania
http://kishindoleo.blogspot.com/2013/07/vilio-na-majonzi-miili-ya-wanajeshi.html
Monday, July 22, 2013. Vilio na majonzi miili ya wanajeshi waliokufa Darfur ilipowasili Tanzania. Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal jana aliwaongoza mamia ya waombolezaji kupokea miili saba ya wanajeshi wa Tanzania waliouawa Darfur, Sudan, Julai 13, mwaka huu. Miili ya wanajeshi hao saba iliyowasili jana ni SajIni Shaibu Sheha Othman, Koplo Osward Paulo Chaula, Koplo Mohamed Juma Ally, Koplo Mohamed Chukilizo, Private Rodney Ndunguru, Private Peter Werema na Private Fortunatus Msofe. Baada ya miili...
kishindoleo.blogspot.com
KISHINDO LEO: Tanzania Media
http://kishindoleo.blogspot.com/p/media.html
Association of Radio Maria. Tel: 255 22 2771727. E-mail: info.tan@radiomaria.org. Tel: 255 22 2123919. Tel: 255 22 2117307. Tel: 255 22 2181700. Tel: 255 28 2622944. Tel: 255 24 2231985/2237101. E-mail: Karumehouse@tvz.co.tv. Africa Media Group Ltd. Tel: 255 22 2116341/8. Tel: 255 22 2775914/6. Tel: 255 22 2773078/2700464. Tel/Fax: 255 24 2232753. Tel: 255 22 2118381/2118377. Tel: 255 22 2450896. Fax: 255 22 2450873. Tel: 255 22 2110478,2110462/3. Fax: 255 22 2110478. Tel: 255 22 2110595/2123063. Uwazi,R...
ndgshilatu.blogspot.com
Waziri atembeza mkong’oto | EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
http://ndgshilatu.blogspot.com/2015/08/waziri-atembeza-mkongoto.html
KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com . Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light. Waziri atembeza mkong’oto. Waziri atembeza mkong’oto. Dar/Makete. Mawaziri wawili wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete wameanguka kwenye marudio ya kura za maoni zilizofanyika juzi, huku matokeo ya Jimbo la Busega yakikwama baada ya Waziri wa Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo, Dk Titus Kamani kumshambulia msimamizi wa uchaguzi. Mkuu wa Wilaya y...
benjaminkaminyoge.blogspot.com
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM: May 2015
http://benjaminkaminyoge.blogspot.com/2015_05_01_archive.html
KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU. Thursday, May 21, 2015. MASHABIKI WA SOKA WAHUDHUNISHWA NA MATOKEO YA TAIFA STARS KWENYE COSAFA CUP. Timu ya mpira wa miguu Tanzania(Taifa stars)inayoshiriki michuano ya COSAFA nchi ni Afrika kusini,. Huku wengine wakisema ni bora timu ipewe mwalimu mzawa kuliko walimu wa nje ambao hawana mabadiliko yeyote kwa timu na wengine wakimkumbuka Marcio Maximmo kuwa alileta hamasa kwa timu ya Taifa na hivyo kuifanya iwavutie watu...
benjaminkaminyoge.blogspot.com
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM: September 2014
http://benjaminkaminyoge.blogspot.com/2014_09_01_archive.html
KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU. Monday, September 29, 2014. YANGA SASA YAANZA LIGI. Baada ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa kufungwa na Mtibwa Sugar wiki iliyopita,Yanga wamefanikiwa kupata ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Tanzania Prison ya Mbeya kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa Dar es salaam. Katika mchezo mwingine huko Chamazi Complex timu ya Kagera Sugar iliibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya JKT Ruvu. Monday, September 29, 2014. Kumekuwa na ki...
benjaminkaminyoge.blogspot.com
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM: TAIFA STARS UWANJANI TENA LEO KUPAMBANA NA MADAGASCAR
http://benjaminkaminyoge.blogspot.com/2015/05/taifa-stars-uwanjani-tena-leo-kupambana.html
KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU. Wednesday, May 20, 2015. TAIFA STARS UWANJANI TENA LEO KUPAMBANA NA MADAGASCAR. Timu 12 kati ya 14 kutoka nchi wanachama wa COSAFA tayari zipo nchini Afrika Kusini kuchuana katika mashindano hayo. Angola na Comoro ambazo ni wanachama wa COSAFA hazikuweza kushiriki mwaka huu. Kundi A lina timu za Zimbabwe, Namibia, Seychelles na Mauritius. Ambapo kundi B lina timu za Madagascar, Lesotho, Swaziland na Tanzania. Timu za juu ...
benjaminkaminyoge.blogspot.com
BENJAMINKAMINYOGE.BLOGSPOT.COM: October 2014
http://benjaminkaminyoge.blogspot.com/2014_10_01_archive.html
KWA HABARI ZA KIMATAIFA,KITAIFA,MICHEZO NA BURUDANI TEMBELEA MTANDAO HUU KILA SIKU. Wednesday, October 29, 2014. RAIS WA ZAMBIA MICHAEL SATA AFARIKI JIJINI LONDON. Akiwa mwenye sauti ya mkwaruzo yakiwa ni matokeo ya kuvuta sigara kwa muda mrefu, Bwana Sata aliibuka katika siasa na kupata umaarufu katika miaka ya 1980. Haraka akapata sifa ya kuwa gavana mwenye kuchapa kazi kwa bidii, wakati akiongoza jimbo la Lusaka na mtu wa utekelezaji kwa vitendo. Baada ya Levy Mwanawasa. Wednesday, October 29, 2014.
SOCIAL ENGAGEMENT