fgodwin.blogspot.com
MAKALA MBALIMBALI: January 2014
http://fgodwin.blogspot.com/2014_01_01_archive.html
Tuesday, January 14, 2014. VIFO VYA AJALI ZA MAGARI VYAPUNGUA ,VYA BODA BODA VYAONGEZEKA IRINGA. Mmoja kati ya majeruhi wa ajali za boda boda Iringa aliyepata ajali wakati wa mapokezi ya waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa mwaka jana. Madereva boda boda waliopewa mafunzo na kamati ya usalama barabarani mjini Iringa wakila kiapo. Majeruhi wa bado boda aliyevunjika mguu kwa ajili ya bodaboda wakati wa mkesha wa Mwaka mpya 2014 akiwa Hospital ya rufaa ya mkoa wa Iringa. Mbali ya takwimu kuonyesha kupungua kw...
fgodwin.blogspot.com
MAKALA MBALIMBALI: May 2012
http://fgodwin.blogspot.com/2012_05_01_archive.html
Friday, May 4, 2012. BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA , LUKUVI APETA , MAKALA ,Dkt MAHENGE ,DKT MGIWA AULA. Rais Dkt Jakaya Kikwete. Mbunge wa jimbo la Ismani Iringa Wiliam Lukuvi ambaye ameachwa tena katika nafasi yake ya uwaziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera na uratibu wa bunge. Mbunge wa jimbo la Makete mkoa mpya wa Njombe. Kushoto) ambaye ameteuliwa kuwa naibu waziri wa maji akiwa na mkuu wa wilaya Dkt Norman Sigalla. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. ORODHA YA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI. Waziri w...
fgodwin.blogspot.com
MAKALA MBALIMBALI: July 2013
http://fgodwin.blogspot.com/2013_07_01_archive.html
Tuesday, July 23, 2013. RC IRINGA AONGOZA MAMIA YA WAKAZI WA IRINGA KATIKA MAZISHI YA MMOJA KATI YA WANAJESHI 7 WALIOUWAWA DARFUR. Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma akitoa heshima ya mwisho katika mwili wa marehemu Koplo Owald Chaula leo. Wanajeshi wakiuandaa mwili wa mwenzao. Wananchi na ndugu wa Chaula wakilia kwa uchungu. Wananchi wakitoa heshima zao za mwisho. DC Kilolo Bw Guninita akitoa heshima zake akifuatiwa na mwenyekiti wa CCM Kilolo SEty Mwamoto. Mwili huo ukishushwa kaburini.
fgodwin.blogspot.com
MAKALA MBALIMBALI: December 2013
http://fgodwin.blogspot.com/2013_12_01_archive.html
Saturday, December 21, 2013. TAARIFA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA KUHUSU TATHMINI YA MATATIZO YALIYOTOKANA NA OPARESHENI TOKOMEZA ;. Kwa mujibu wa kumbukumbu za Taarifa Rasmi za Bunge za tarehe 1 Novemba 2013, wakati Bunge likihitimisha Hoja ya Kuairisha Shughuli za Bunge, Mhe. Spika alitoa uamuzi ufuatao:-. 11 Kuundwa kwa Kamati Ndogo ya Uchunguzi. 12 Hadidu za Rejea, Wajumbe wa Kamati na muda wa kazi. 2) Kuangalia kasoro zilizojitokeza katika kutekeleza mpango huo;.
fgodwin.blogspot.com
MAKALA MBALIMBALI: June 2012
http://fgodwin.blogspot.com/2012_06_01_archive.html
Saturday, June 16, 2012. MHARIRI WA GAZETI LA JAMBOLEO WILLY EDWARD AMEFARIKI DUNIA GAFLA. Habari za kusikitisha zilizotua katika mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com asubuhi hii kutoka mkoani Morogoro zinaeleza kuwa aliyekuwa mhariri wa habari wa gazeti la Jamboleo Willy Edward (pichani) amefariki dunia . Willy Edward alikuwepo mkoani Morogoro katika mafunzo ya siku moja pamoja na wanahabari wengine na kuwa inadaiwa alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pumu kwa muda mrefu .
fgodwin.blogspot.com
MAKALA MBALIMBALI: November 2011
http://fgodwin.blogspot.com/2011_11_01_archive.html
Saturday, November 5, 2011. MSIMAMO WA GODBLESS LEMA WAWEZA KUTUFIKISHA LIBYA. Mbunge Godbless Lema (kulia) akiwa na vyombo vya usalama. DALILI mbaya zimeanza kujionesha hapa kwetu Tanzania. Nahisi harufu ya damu imeanza kuinyemelea nchi hii masikini, mithiri ya Misri, Tunisia. Mwandishi wa makala hayo Sitta Tumma. Huu ni mfano tu nimeanza kwa kuutoa kuhusiana na yale. Juzi tu tumeshuhudia nguli wa kiutawala Afrika. Mjini, Godbless Lema (CHADEMA). Mbunge Lema huenda msimamo wake ukafanana na ule wa Moham...
fgodwin.blogspot.com
MAKALA MBALIMBALI: MAJINA YA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
http://fgodwin.blogspot.com/2014/02/majina-ya-wajumbe-wa-bunge-la-katiba_7.html
Friday, February 7, 2014. MAJINA YA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA. Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Unatawaliwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura, 83 ( The Constitutional Review Act, Cap 83. Sheria hii inaweka mamlaka ya uteuzi, masharti, taratibu, vigezo na mambo mengine yote yanayopaswa kuzingatiwa katika uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba. Kwa mujibu wa Kifungu cha 22 (2A) na (2B) vigezo hivi vinajumuisha umri, jinsia, uzoefu, sifa na mahali anapotoka mjumbe husika. Taasisi za Kidini (20).
fgodwin.blogspot.com
MAKALA MBALIMBALI: MAJINA YA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
http://fgodwin.blogspot.com/2014/02/majina-ya-wajumbe-wa-bunge-la-katiba.html
Friday, February 7, 2014. MAJINA YA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA. Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Unatawaliwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura, 83 ( The Constitutional Review Act, Cap 83. Sheria hii inaweka mamlaka ya uteuzi, masharti, taratibu, vigezo na mambo mengine yote yanayopaswa kuzingatiwa katika uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba. Kwa mujibu wa Kifungu cha 22 (2A) na (2B) vigezo hivi vinajumuisha umri, jinsia, uzoefu, sifa na mahali anapotoka mjumbe husika. Taasisi za Kidini (20).
jukwasiasa.blogspot.com
JUKWAA LA SIASA
http://jukwasiasa.blogspot.com/2012/07/nape-afunguka-kuhusu-mzee-sabodo.html
Saturday, July 7, 2012. NAPE AFUNGUKA KUHUSU MZEE SABODO KUIPIGA JEKI CHADEMA. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Idara ya Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akicheka bila uhasama na viongozi wa Chadema, Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa Chama hicho Dk. Wilbrod Slaa hivi karibuni. ASEMA MZEE HUYO KUCHANGIA UPINZANI SI TATIZO. Kuna watu wengi wanauliza nini maoni yangu juu ya uamuzi wa Mzee Sabodo kusaidia vyama vya upinzani na hasa Chadema. Yote haya yamefanywa na serikali ya CCM. Mzee wa ma...
jukwasiasa.blogspot.com
JUKWAA LA SIASA
http://jukwasiasa.blogspot.com/2012/05/baraza-jipya-la-mawaziri-hili-hapa.html