kapingaz.blogspot.com
DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA MWANAMUZIKI WA MUZIKI WA BONGO FLEVA CHRIS ROBY UNAOKWENDA KWA JINA LA - "LEO" | KAPINGAZ
http://kapingaz.blogspot.com/2013/08/download-nyimbo-mpya-ya-mwanamuziki-wa.html
Sunday, August 11, 2013. DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA MWANAMUZIKI WA MUZIKI WA BONGO FLEVA CHRIS ROBY UNAOKWENDA KWA JINA LA - "LEO". Kwa kuisikiliza na kuidownload bofya:. Posted by Henry Oswald Kapinga. Vimax Original Solusi Pria Perkasa. May 31, 2015 at 11:57 PM. Terima kasih gan semoga bermanfaat. October 31, 2015 at 8:22 AM. December 28, 2015 at 12:04 AM. February 23, 2016 at 11:28 PM. Subscribe to: Post Comments (Atom). 160; Kwa kuisikiliza na kuidownload bofya: HAPA. MZEE WA MATUKIO DAIMA.
kapingaz.blogspot.com
MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK NCHINI MAREKANI. | KAPINGAZ
http://kapingaz.blogspot.com/2015/08/misa-ya-kumbukumbu-ya-marehemu-mzee_9.html
Sunday, August 9, 2015. MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK NCHINI MAREKANI. Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Onesmo Ole Nangole kulia akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya kuhamia rasmi chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA)kushoto ni. Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha Isaac Joseph Maarufu kama Kadogoo(Habari Picha na Pamela. Posted by Henry Oswald Kapinga. Subscribe to: Post Comments (Atom). 160; Kwa kuisikiliza na kuidownload bofya: HAPA.
kapingaz.blogspot.com
DHEHEBU LA SHIA LATOA SEMINA KWA WANAHABARI | KAPINGAZ
http://kapingaz.blogspot.com/2015/08/dhehebu-la-shia-latoa-semina-kwa.html
Sunday, August 9, 2015. DHEHEBU LA SHIA LATOA SEMINA KWA WANAHABARI. Imam wa msikiti wa Ghadir uliopo Kigogo Post, Hemed Jalala akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Wa dhehebu la Shia wa Msikiti wa Ghadir uliopo Kigogo Post jijini Dar, leo wametoa semina kwa wanahabari kuhusu umuhimu na wajibu wao katika kuielimisha jamii. Posted by Henry Oswald Kapinga. Subscribe to: Post Comments (Atom). DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA MWANAMUZIKI WA MUZIKI WA BONGO FLEVA CHRIS ROBY UNAOKWENDA KWA JINA LA - "LEO". All righ...
kapingaz.blogspot.com
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI,PEREIRA AME SILIMA AFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI. | KAPINGAZ
http://kapingaz.blogspot.com/2015/08/naibu-waziri-wa-mambo-ya-ndani-ya.html
Sunday, August 9, 2015. NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI,PEREIRA AME SILIMA AFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI. Mgeni rasmi katika ufungaji wa Mafunzo ya awali ya skari Polisi,NaibuWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Pereira Ame Silima akizungumza wakati wa sherehe za ufungaji wa mafunzo hayo zilizofanyika Chuo Cha Taaluma ya Polisi Moshi,. Baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya awali ya Askari Polisi na Uhamiaji. Habari kwa kina bofya: HAPA. Posted by Henry Oswald Kapinga.
kapingaz.blogspot.com
Mambo matano ya Jerry Silaa uliyoyakosa wiki hii. | KAPINGAZ
http://kapingaz.blogspot.com/2015/08/mambo-matano-ya-jerry-silaa-uliyoyakosa.html
Monday, August 10, 2015. Mambo matano ya Jerry Silaa uliyoyakosa wiki hii. 1 Jumamosi ya 1/8/2015 baadhi ya mitandao na Magazeti kuliripotiwa kwamba Jerry Silaa. Ameshindwa kwenye kura za maoni jimbo la Ukonga. Lakini saa kadhaa baadae Mkurugenzi wa uchaguzi alitangaza Silaa ndio mshindi kwa kupata kura elfu kumi. Huku anaemfatia akipata kura elfu saba mia tatu arobaini na sita. Anasema ‘ ni kweli kwenye jimbo langu Wagombea wote takribani 16 walikua wanafahamu kwamba mwenzetu. Walivamia mkutano ule na w...
kapingaz.blogspot.com
NATAFUTA MPENZI, MCHUMBA, RAFIKI MWENYE MALENGO. | KAPINGAZ
http://kapingaz.blogspot.com/2012/07/natafuta-mpenzi-mchumba-rafiki-mwenye.html
Thursday, July 12, 2012. NATAFUTA MPENZI, MCHUMBA, RAFIKI MWENYE MALENGO. Natafuta mchumb awe mweusi, mnene kidogo na awe mfup mfup kidogo, namba yang 0717306543. Naitwa john wa arusha natafuta mchumba wa kuoa awe mkristo, asiwe mwanafunzi, awe na umri wa 26-30, alie tayari anitafute kwa namba 0759 516 662. Naitwa deo natoka pande za arusha, natafuta mchumba wa kuoa awe mkristo, umri awe na miaka 26-30 tuwasiliane kwa 0653433666. Awe mwalimu,miaka 24-20 atokee popote isipokuwa moshi na bukoba 0767350415.
kapingaz.blogspot.com
JK AWAAGA WANANCHI WA MTWARA | KAPINGAZ
http://kapingaz.blogspot.com/2015/08/jk-awaaga-wananchi-wa-mtwara.html
Monday, August 10, 2015. JK AWAAGA WANANCHI WA MTWARA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akihutbia wakazi wa Mtwara kwenye uwanja wa Nangwanda ambapo aliwaaga wakazi hao huku akiwaambia kuwa Mtwara ndio utakuwa mji wenye uwezo wa kiuchumi Tanzania. Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete akiwapungia mkono wakazi wa Mtwara kama ishara ya kuwaaga kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona. Habari kwa kinaa bofya: HAPA.
kapingaz.blogspot.com
MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK NCHINI MAREKANI. | KAPINGAZ
http://kapingaz.blogspot.com/2015/08/misa-ya-kumbukumbu-ya-marehemu-mzee.html
Sunday, August 9, 2015. MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK NCHINI MAREKANI. Mchungaji Butiku akiongoza misa ya shukurani na arubaini ya. Marehemu Mzee Samuel Luangisa iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 8,. 2015 Mount Vernon, New York na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki. Kutoka kila pembe ya Marekani. Mrs Luangisa, mke wa marehemu akifuatilia misa. Habari kwa undani bofya: HAPA. Posted by Henry Oswald Kapinga. Subscribe to: Post Comments (Atom). MZEE WA MATUKIO DAIMA.
kapingaz.blogspot.com
Rais Kikwete azindua Tawi la Benki Kuu Mtwara | KAPINGAZ
http://kapingaz.blogspot.com/2015/08/rais-kikwete-azindua-tawi-la-benki-kuu.html
Sunday, August 9, 2015. Rais Kikwete azindua Tawi la Benki Kuu Mtwara. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi tawi la Benki Kuu mjiniMtwara leo jioni.Kushoto ni Gavana wa Benki Kuu Dkt.Benno Ndulu na kulia ni Naibu Waziri wa Fedha Bwana Mwigulu Nchemba(picha na Freddy Maro). Posted by Henry Oswald Kapinga. Subscribe to: Post Comments (Atom). DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA MWANAMUZIKI WA MUZIKI WA BONGO FLEVA CHRIS ROBY UNAOKWENDA KWA JINA LA - "LEO". MZEE WA MATUKIO DAIMA.
kapingaz.blogspot.com
RAIS KIKWETE AZINDUZA KIVUKO CHA MV MAFANIKO NA KUZINDUA MRADI WA NYUMBA ZA NHC MKOANI MTWARA LEO | KAPINGAZ
http://kapingaz.blogspot.com/2015/08/rais-kikwete-azinduza-kivuko-cha-mv.html
Sunday, August 9, 2015. RAIS KIKWETE AZINDUZA KIVUKO CHA MV MAFANIKO NA KUZINDUA MRADI WA NYUMBA ZA NHC MKOANI MTWARA LEO. Kikwete akizindua rasmi kivuko cha MV Mafanikio kwenye pwani ya mji wa. Mtwara kitachofanya safari kutokea Msemo kuelekea Msangamkuu muda huu. Rais Dkt.Jakaya Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kivuko cha Mv Mafanikio kwenye pwani ya mji wa Mtwara kitachofanya safari kutokea Msemo kuelekea Msangamkuu muda huu mkoani Mtwara.Ki. Habari kwa kina bofya: HAPA. All right are...
SOCIAL ENGAGEMENT