hudhudtz.blogspot.com
TEKINOLOJIA KATIKA JAMII - HUD HUD BLOG
http://hudhudtz.blogspot.com/p/tekinolojia-katika-jamii.html
Madhara ya simu za mkononi kwa afya ya watoto. Kutokana na kuwa wanaadamu leo hawana budi ila kutumia vyombo vya kielektroniki kama vile simu za mkononi katika maisha yao ya kawaida, wataalamu hivi sasa wanafanya utafiti wa kina ili kutafuta njia za kukabiliana na kuangamiza taathira kwa mwili wa mwanadamu wakati anakumbwa na miale ya kielektroniki na nguvu za sumaku. Katika uhalisia wake, simu ya mkononi ni chombo cha mawasiliano wakati wa dharura na mazungumo kwa njia hiyo yanapaswa kuwa ni mafupi.
muniramadrasa.blogspot.com
WANAOTAKA AJIRA TPA,NAFASI HIZO BWELELE ~ Munira Blog
http://muniramadrasa.blogspot.com/2014/02/wanaotaka-ajira-tpanafasi-hizo-bwelele.html
Habari za hivi punde. Feb 26, 2014. WANAOTAKA AJIRA TPA,NAFASI HIZO BWELELE. NAFASI MPYA ZA KAZI BANDARINI (TPA) - TANGA. Office of the port master. Bandari house, P.O.BOX443,TANGA. TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. Maombi yanakaribishwa kutoka kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za kazi zilizo tajwa hapa chini katika ajira ya mkataba usio kuwa na muda maalumu katika Bandari ya tanga. Nafasi hizo ni zifuatazo hapa chini:-. IDADI YA NAFASI: 7. NGAZI YA MSHAHARA: TPOS 4. NGAZI YA MSHARA:TPOS 4. Awe na uzoe...
muniramadrasa.blogspot.com
Barua ya Kiongozi, imetangaza upya mapinduzi ya Kiislamu ~ Munira Blog
http://muniramadrasa.blogspot.com/2015/03/barua-ya-kiongozi-imetangaza-upya.html
Habari za hivi punde. Mar 12, 2015. Barua ya Kiongozi, imetangaza upya mapinduzi ya Kiislamu. Meja Jenerali Muhammad Ali Jafari. Meja Jenerali Muhammad Ali Jafari, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini ni marhala na hatua mpya ya kuyatangaza Mapinduzi ya Kiislamu. Sehemu moja ya ujumbe huo inasema: “Ninachopenda kukuombeni ni kwamba msiruhusu njama za kuoneshwa sura m...
muniramadrasa.blogspot.com
AJALI YA KUTISHA SINGIDA ~ Munira Blog
http://muniramadrasa.blogspot.com/2015/03/ajali-ya-kutisha-singida.html
Habari za hivi punde. Mar 16, 2015. AJALI YA KUTISHA SINGIDA. ABIRIA 13 wakiwemo watatu wa familia. Moja wamefariki dunia mkoani Singida leo,. Baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina. Ya Noah T.730 BUK, kugongwa na Lori aina. Ajali hiyo ya kusikitisha imetokea leo saa. 132 asubuhi katika barabara kuu ya. Singida-Dodoma eneo la kijiji cha Isuna. Tarafa ya Ikungi wilaya ya Ikungi mkoani. Kamanda wa polisi mkoa wa. Singida,SACP ,Geofrey Kamwela, amesema. Gari hilo aina ya Noah lilikuwa likitokea Itigi.
muniramadrasa.blogspot.com
Sheikh Mohamed Issa "mimi sio kiongozi wa kuulizwa mauaji ya Kilindi!" ~ Munira Blog
http://muniramadrasa.blogspot.com/2013/11/sheikh-mohamed-issa-mimi-sio-kiongozi.html
Habari za hivi punde. Nov 12, 2013. Sheikh Mohamed Issa "mimi sio kiongozi wa kuulizwa mauaji ya Kilindi! Mauaji yaliofanyika katika vijiji vya waislaam huko Kilindi vimenyamaziwa kimya na Mashekhe wengi,na baadhi yao siku za nyuma walikuwa wakijitokeza kwenye vyombo vya Habari na kutunisha misuli kwa masuala yasio na manufaa kwa waislaam badala ya kuzungumzia madhila na mauaji yaliofanywa na yanayoendelea kufanyika sehemu mbalimbali nchini Tanzania. Mwulizaji:-assalam alaykum sheikh mohammed issa. Sheik...
tanzaniaeconomy.com
Finance & Insurance - Tanzania Economy
http://www.tanzaniaeconomy.com/finance-insurance
The East African Community. AccessBank Tanzania Ltd (ABT). Advans Bank Tanzania Ltd. Tanzania Ltd (Banc ABC). African Development Bank Group (ADB. Bank M Tanzania Limited (Bank M). Bank of Africa Tanzania Ltd. Barclays Bank Tanzania Limited. Commercial Bank of Africa Limited. DCB Commercial Bank Plc (DCB). Diamond Trust Bank (DTB). Equity Bank Limited - Tanzania. Exim Bank (T) Ltd. First National Bank Ltd (FNB). International Commercial Bank (Tanzania) Ltd. Mkombozi Commercial Bank Plc. Strategis Insuran...
hudhudtz.blogspot.com
KISA CHA KUSISIMUA - HUD HUD BLOG
http://hudhudtz.blogspot.com/p/blog-page_25.html
Kwa hivyo kutafakari kuhusu maumbile ni jambo ambalo linaweza kuhuisha na kuleta mabadiliko katika fikra za mwanaadamu. Katika ustaarabu wa zama zetu, ingawa kidhahiri mwanaadamu anaonekana kuwa katika harakati mpya lakini maisha ya kimashine yamemfanya ajisahau na kughafilika. Reviewed by hamisi hamisi. On Sunday, November 01, 2015. Subscribe to: Posts ( Atom ). Bofya uone ajira mpya. BOFYA VITUFE HAPO CHINI. MAKALA ZETU HAPA HUD HUD. JAMII YETU YA KIISLAM. QURANI NA WANA SAYANSI. AFYA KATIKA JAMII YETU.
hudhudtz.blogspot.com
MAGAZETIN LEO - HUD HUD BLOG
http://hudhudtz.blogspot.com/p/blog-page_2.html
SOMAVICHWA VYA HABARI VILIVYOTAWALA MAGAZETI TA LEO NA HUD HUD MEDIA. 169;2015: hud hud Blo. Reviewed by hamisi hamisi. On Thursday, February 11, 2016. Subscribe to: Posts ( Atom ). Karibu brog ya hud hud pata habari na makala mbalimbali kila siku Usipitwe na chochote kutoka hud hud pia Tanganza Nasi piga 255627731222 / 0672020395. Bofya uone ajira mpya. BOFYA VITUFE HAPO CHINI. MAKALA ZETU HAPA HUD HUD. JAMII YETU YA KIISLAM. QURANI NA WANA SAYANSI. SOMA HABARI ZILIZO HIFADHIWA. BENKI YA KIISLAM TANZANIA.
hudhudtz.blogspot.com
MWANAMKE WA KIISLAMU - HUD HUD BLOG
http://hudhudtz.blogspot.com/p/mwanamke-wa-kiislamu.html
Siri ya umuhimu wa mwanamke wa Kiislam inatanda katika mzigo mkubwa na jukumu ambao alilowekewa mbele yake, na mashaka ambayo yako katika mabega yake. Jukumu na mashaka ambayo hata mengine mwanamme anaweza kubeba. Hadhi ya mwanamke katika Uislam ina cheo kikubwa na iliyo na taadhimu, na taathira yake ni kubwa mno katika maisha ya kila Muislamu. Kwa kweli mwanamke wa Kiislamu ni mwalimu wa kwanza katika kujenga jamii njema, ikiwa. Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) amesema:. Na Tumemuusia m...
SOCIAL ENGAGEMENT